Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 486
- 1,290
Burudani mpaka msibani, wapige nyimbo za maombolezoTBC1 ndiyo inahisika na mambo ya kitaifa, kwani ninyi hamjui yakuwa TBC2 ni ya burudani? Acheni ujinga
Mkuu nini hiki na unaowataja ni kina nani kwenye hii picha?View attachment 2921715
#FreePalestine
adriz Ritz ( mzee wa uharo) Accumen Mo hydroxo Mlolongo Mufti kuku The Infinity
Mzee Mwinyi amefatpriki jana tarehe 29.02.24 je hiyo juzi walitoa maagizo hayo wakilenga msiba wa nani?Juzi BASATA walitangaza kuwa kipindi hiki cha maombolezo vyombo vya habari Tv na redio wazingatie nyimbo za maombolezo lakini TBC2 tena TV ya Taifa hamna kitu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu nini hiki na unaowataja ni kina nani kwenye hii picha?
Au unataka kusema hao ni maafisa kitengo wa BASATA wanaingia kwenye kikao kwenda kuwawajibisha TBC2?
Mzee Mwinyi amefatpriki jana tarehe 20.02.24 je hiyo juzi walitoa maagizo hayo wakilenga msiba wa nani?
AsanteJana tarehe 29 sio 20. Kumbe binaadam sote tunakosea eeh
Nadhani watashtuliwaAlie karibu awashtue... [emoji23]
Ufalme haujipingi wenyeweTaifa lipo kwenye maombolezo lakini TV ya Taifa TBC2 inapiga miziki ya bongo fleva na miziki mingine isiyoendana na maombolezo ambapo mtu asiye na taarifa na msiba akifungulia tbc2 atafikiri hiyo nchi haipo kwenye maombolezo
Juzi BASATA walitangaza kuwa kipindi hiki cha maombolezo vyombo vya habari Tv na redio wazingatie nyimbo za maombolezo lakini TBC2 tena TV ya Taifa hamna kitu
Je BASATA watawachukulia hatua TBC ?
TBC1 ipoBurudani mpaka msibani, wapige nyimbo za maombolezo