Je, Barabara iendayo Kijichi imefungwa?

Samber Junior

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
33
Reaction score
13
Habari wadau, kuna ukweli wowote kuhusu njia ya mtoni kijichi kufungwa kutokana na mvua....mwenye taarifa atujuze
 
Mi mpaka sasa sijafika office, mvua hakupitiki ni kali mno aisee
 
Duh asante kwa taarifa. Maana hapa nimetulia natafakari nitokeje
 
Kapicha sasa nyie mkoje..[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…