Umesahau na siku zote kama hana connection ya kutosha atapasikia tuu
Lakini kuna mambo yanaweza kumuokoa kama hana connection utendaji wa kazi + uadilifu aka uaminifu
Hizi taasisi hazihitaji kisomi saanaaa
NAWASILISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuuNi kweli kazi za Bank kumuamini mtu yahitaji jicho kubwa
0.7m hahaakuna jamaa yangu yupo huko..gross ni 0.7m, weekend au overtime allowance ni 30k..hiyo ni kwa bank teller..kwa nafasi nyingine sijui.
unajua kusoma?Gross au net
nini kinakuchekesha mkuu?0.7m hahaa
Mkuu, ungekuwa pande za huku, ningekupa ofa ya kinywaji ukipendacho..unajua kusoma?
kuna jamaa yangu yupo huko..gross ni 0.7m, weekend au overtime allowance ni 30k..hiyo ni kwa bank teller..kwa nafasi nyingine sijui.
Mmmmh mmmmhKuna uzi mrefu sana hapa Jukwaa la ajira kuhusu NMB Plc interview
Je, Mshahara ni kiasi gani kwa sasa? Gross salary kwa hao freshers, kwa muonekano hii ni moja ya Bank bahiri sana sidhani kama inafika hata laki 8 gross
Wazoefu kwenye hizo sector washaurini vijana ,Wasije wakawa na mawazo makubwa sana halafu mambo yakawa hovyo
Na huko CRDB?
Vijana fanyeni tafiti kabla ya kuomba kazi kwenye Bank hiyo?