Je, Bank officer NMB Plc analipwa kiasi gani Gross?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,652
Kuna uzi mrefu sana hapa Jukwaa la ajira kuhusu NMB Plc interview

Je, Mshahara ni kiasi gani kwa sasa? Gross salary kwa hao freshers, kwa muonekano hii ni moja ya Bank bahiri sana sidhani kama inafika hata laki 8 gross

Wazoefu kwenye hizo sector washaurini vijana ,Wasije wakawa na mawazo makubwa sana halafu mambo yakawa hovyo

Na huko CRDB?

Vijana fanyeni tafiti kabla ya kuomba kazi kwenye Bank hiyo?
 
Kwa private sector bargaining power yako ndo mshahara wako
 
Umesahau na siku zote kama hana connection ya kutosha atapasikia tuu

Lakini kuna mambo yanaweza kumuokoa kama hana connection utendaji wa kazi + uadilifu aka uaminifu

Hizi taasisi hazihitaji kisomi saanaaa

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kazi za Bank kumuamini mtu yahitaji jicho kubwa
Umesahau na siku zote kama hana connection ya kutosha atapasikia tuu

Lakini kuna mambo yanaweza kumuokoa kama hana connection utendaji wa kazi + uadilifu aka uaminifu

Hizi taasisi hazihitaji kisomi saanaaa

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa yangu yupo huko..gross ni 0.7m, weekend au overtime allowance ni 30k..hiyo ni kwa bank teller..kwa nafasi nyingine sijui.
 
Kuna uzi mrefu sana hapa Jukwaa la ajira kuhusu NMB Plc interview

Je, Mshahara ni kiasi gani kwa sasa? Gross salary kwa hao freshers, kwa muonekano hii ni moja ya Bank bahiri sana sidhani kama inafika hata laki 8 gross

Wazoefu kwenye hizo sector washaurini vijana ,Wasije wakawa na mawazo makubwa sana halafu mambo yakawa hovyo

Na huko CRDB?

Vijana fanyeni tafiti kabla ya kuomba kazi kwenye Bank hiyo?
Mmmmh mmmmh
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom