Habr za asbh ,
Imekua n vigumu San,kwa baadhi ya wazaz kufny kosa watoto wao nakuwez kulikiri,na huend hii iko kwa kila mzaz.
Kama ilivvyovigumu kwa mzaz kukiri kosa kwa mwanae hivyo hvyo c rahsi kwa mtawala kukiri kosa mbel ya wananch wake waliompa dhaman.
Nibora tukajua kua c kama wanapenda kufanya hiv Bali lazm tujue kuaa mwanasiasa yoyote yule asimampo jukwaan au katika forum yoyote ile kauli Zake na harakat zake zmebeba mambo matatu,
1)maslahi yake binafi.
2)maslahi ya chma chake.
3)wananchi wake.
Kwa nn nmetanguliza hayo,nilazima tujue kuwa hata kama tuwe wakosoaji kiaasi gn ,lazm tujue kuwa hatuwez kuona mtawala akikiri kosa lake kwa waz Bali tunaweza kuona tu matendo yakiendan na ukososji husika.
Hivyo bx taifa linakumbwa n kashfa kubwa kama hii inayodaiwa na baadhi ya wadau ya 1.5 trillion lazm tujue kuwa itapata watetez wakiwamo watawala jambo LA msing lakujikumbusha ni kuwa hata tegeta escrow ilipata watetez pka watuhumiwa walijitokeza ilipouma n pale ambapo raisi wa kipnd hicho ambae n mstaafu jakaya mrisho kikwete alikuwa wa mwisho kutoaa ufafanuzi juu ya jmbo lile ingawa majibu halikuwa hayaridhish San ila bdo utulivu ulipatakana na wengine walikosa nyadhifa zaoo.
Hofu yangu kubwa n kuwa kwa nn rais wasasa amewahi saana kujijita katka suaala hili hata kabla kamati ya PAC haijatoa majibu yke,?swali kubwa n kuwa nn kitatokeaa ikithibkka n kwel hazionekan na rais amewahi kilisemea jmbo hil na kuonesha dalili yakutetea kuwa fedha hizo hazijaliwa ama ktumika katka matumiz yasio na faida kwa taifa?
Je ikithibitika n kwell raisi c atakua katka mkumbo wa kuwa mtetez wa kuibwa fedh zetu huku yy akininadi mpambanaji wa kupinga rushwa ?
Jambo LA ziada n je rais kumhoji katibu wa hazina kuhusu tuhuma ya fedha hii anataka kutuambia kuwa katbu angewza kujibu kuua zimeibwa au nkwel au rais amejjkita katka siaasa wakati yy huluk hiyoo kwa baadhi ya mambo amejitahid kujitenga nayoo.
Hofu nyingne n kuwa iwapo wanaohoji fedha zaoo mana hizo fedha c za MTU binafs at a serkali n dhaman tumewapa kuzikusanya na kuzisimamia na ndioo mana kwa kuwa naoo n binadamu imebidi pawepo chombo chakuisimamia serkali ambacho n bunge iweje pole pole kutamka zitoo ashughulikiwe kwan zitoo kuhoji n kwake amefanya kosa gn n katibu mwenez anapewa mamlaka hayo n nan kuiagiza vyombo kumshughulikia zitoo ?
Na iwapo mbunge mwenye kofia mbil ya ubunge na RAIA wa kawaida anatishwa hivyo Je sisi RAIA wa kawaida tutakua na hali gn? Na iwapo baada ya uchunguzi wa PAC ukabain nkwel Je pole pole atakuwa amekiweka chama chake kwenye itikadi gn?
Hofu nyingne n kuwa iwapo wanaohoji kashfa hii n wanatishwa Je PAC ikosalama kiasi gn juu ya kuhoji fedha zetu ?swali LA ziada je PAC ya saasa inanguvu kama ya zitoo enzi hizoo?
Ni maliziee kwa kusema iv serkali ya rais john pombe magufuli ilijinadi toka mwanzo kuwa inapambn na rushwa ingwa kwa macho ya ziada tunaona ukakasi je has a kwa baadhi ya mambo ikiwepo Yale yalioibuliwa na kina Joshua nasari lkn pia hawa wabunge na madiwan wanao hama hama naoo inasemkn kuna nguvu ya ziada inatumika je kama n kwel kuna nguvu ya ziada ya kifedha fedha huzo zilitok kwa mfuko wa nani?
Ukijumlisha utata wotee huo ndiiio unaipa nguvu kashfa hii ,na ukijumlisha vitishoo vinavyotolewa kwa wanaohoji daaaah halii ndioo inazidi kutiaa hofu ila yote kwa yotr hakuna ukwel uliowahi kushindwa na uoongo hta kafulila mtetez wa trillion zetu tusizojua ziko wako asisahau Mapito ya zaman juu ya tegeta escrow aliitwa tumbili juzii kwenye utwala juu rais alimuiita shujaa hata kweny hili ninamatumain yupo shujaa anaekuja.
Nimalize kwa kusema kutokuwepo kwa mandaman ya aman na nguvu nyingi haina maana watanzania has a vijana hatuna shid zakumwambia rais ,kumbuken watu wanatekwa ,wanapotea pasipojulikana ,wngen wanapigwa risasi ,ajira ndioo kbs took bab aingie madarakan hali tet je haya hatukupaswa kusikilizwa?etr