Ukishapata History, Physics, Chemistry alama D jua kwenda advance ni majaaliwa sanaCheck mchango namba 13 kumewekwa vigezo. Visome kwa umakini- angalau C tatu zinatakiwa katika masomo 7, kwenye combi kinachotakiwa ni point kati ya 3 (AAA) na 10 (CCD). Na jumla usizidi point 25. Zaidi ya hapo ni majaliwa ya uwepo wa nafasi (competition).
Mkuu kwa hesabu hiyo hawatampokeaAnaweza kusoma michepuo yote ya sanaa HGK, HGL, HKL, na mchepuo wa HGE kwa biashara lakini pia CBG imefanya vizuri.
23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F
Mpelekeee kwenye Coz za afyaa tu diplomaa itamsaidiaa advance atapoteza mdaa tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaweza kwenda H(D), K (C), L (C)-HKL na CBG. Bora 7 ana 23, ana C5 (zinatakiwa zisipungue 3) kwenye combi ana point 10 anatakiwa awe na kuanzia 3-10. Labda aachwe kwa ushindani. Bandiko la Retired (hapa chini) ndio la kufuatwa kwani hakuna mwongozo mpya hadi sasa.
Sijuagi watu wanatafutaga nini huko...Mpelekeee kwenye Coz za afyaa tu diplomaa itamsaidiaa advance atapoteza mdaa tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ni CBGCombination mpya eee!
Mkuu Na HuyuIli ufanye mtihani wa f vi ni lazima uwe na pass tano ndani yake credit 3, serikalini mpaka uwe na b, ila private nadhani watakupokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Waraka ule wa mwaka cut off points kwa f v ilikuwa 25, hata mimi nna binti ana cccddd pointi 26..tunasubiria waraka wa wizara, lakini ukisoma sifa kufanya mtihani nacte naona ana qualify kufanya.Mkuu Na Huyu
Civ C
Engl C
Kisw C
Hist D
Geo D
Bios D
Mathe F
Ana Points 26 2017 Atapata Advance Private Kwa H.G.L?
Majaaliwa lakini inawezekana kwani vigezo vinakubali.Ukishapata History, Physics, Chemistry alama D jua kwenda advance ni majaaliwa sana
Hawa hitaji ufaulu wa hesabu kwenda combi ya CBG. Soma vigezo vizuri.
Binti Yako Ulimpeleka Private Walimkataa?? Ule Waraka Ulitolewa Kwa Ajili Ya SelectionWaraka ule wa mwaka cut off points kwa f v ilikuwa 25, hata mimi nna binti ana cccddd pointi 26..tunasubiria waraka wa wizara, lakini ukisoma sifa kufanya mtihani nacte naona ana qualify kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wawili tofauti a boy alichaguliwa hgl kwa ccb nikamuombea kwa rafika yangu ccb kusoma cbg hiyo 2013, mwaka huu a girl, ana 26, cccddd huyu hawezi pata serikalini, ni private tuBinti Yako Ulimpeleka Private Walimkataa?? Ule Waraka Ulitolewa Kwa Ajili Ya Selection
Nashangaa mkuu wengine wanasema tu bila ushahidi kwny vigezo hawajaandika F ya hesabu mtu husomi combination ya sayansi sasa sijui wao sheria hiyo wameitoa wapiHawa hitaji ufaulu wa hesabu kwenda combi ya CBG. Soma vigezo vizuri.
Si Wanasema Eti Cuts Point Ni 25 Iwe Kwa Private Au GovtWawili tofauti a boy alichaguliwa hgl kwa ccb nikamuombea kwa rafika yangu ccb kusoma cbg hiyo 2013, mwaka huu a girl, ana 26, cccddd huyu hawezi pata serikalini, ni private tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimempigia hm kasema nimpeleke, yeye kwake ni privateSi Wanasema Eti Cuts Point Ni 25 Iwe Kwa Private Au Govt
Shule Gan Mkuu Mimi Mwenyewe Na Four Ya 26
Private school unapata, kwa CBG. Kwa comb nyingine pia anaweza kusoma kwa kutumia mfumo wa special need programs....nichek pm, nikuelekeze vizuri ndugu.23 III CIV - 'C' HIST - 'D' GEO - 'C' KISW - 'C' ENGL - 'C' PHY - 'D' CHEM - 'D' BIO - 'C' B/MATH - 'F