newbeliever
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 248
- 48
Hellow
Hili jambo linanitatiza saaaaana
Kuna binti nimefahamiana nae kwa miezi kadhaa sasa, kiufupi tumeshakuwa wapenz rasmi kwa miezi hiyo almost mitano.
Binti ni mzuri saaaana, yuko loyal sana kwangu, ananijali kwa kiasi chake, haniwangishi kichwa yaan sina wasiwasi nae.,tumeshakuwa na mipango ya kuja kuwa mme na mke kama Mungu akijalia!!
Binti yuko tayari hata kunizalia,yaan yuko tayari kwa chochote!!
CHANGAMOTO NI HIZI.
binti kashapitia tabia zote kwangu mi naziona mbaya
- unywaji pombe
- uvutaji ( sigara au bangi )
- kuwa na mahusiano mengi
Kwangu mi hizo changamoto naona labda ni kawaida maana kila mtu ana past yake n na mimi nina past yangu kwake inaweza kuwa mbaya,
Tatizo kubwa ni ana mtoto tayari, ila yeye bado ni mdogo tu (25yrs), alimpata kipindi anasoma secondary.
Nawaza na najiuliza je atanifaa kweli kuwa mke??? Je hizo tabia zake kaacha kweli??? Je kuhusu mtoto hatokuja kutuvuruga??
Nawaza nimuoe hivo hivo? Au nisimuoe? Je nimuacheje na wakati nampenda saana na yeye ananipenda? Sijui nichukue njia gani wakuu
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu mahusiano na baba mtoto sio mazuri ana kama mwaka na point hawajawahi wasiliana.Kama unampenda na anakupenda muoe, lakini je umejiridhisha mahusiano yake na baba wa mtoto yatakuwaje?
Je utavumilia kuona mkeo akiwasiliana na mzazi mwenzie kuhusu mtoto wao?
Umewaza siku mtoto anaumwa kwa mfano wazazi wakutane kwa ajili ya mtoto au kujadili maswala ya ada ya mtoto?
Ukishafikiria juu ya hayo yote na mengine mengi fanya maamuzi sahihi kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu suala la kuvuta sio tatizo kwangu amebadirika sasa hiv na hata ukimuangalia huweji jua kama alikuwa anafanya hivo vitu.Sasa kumpenda umpende wewe halafu maamuzi tukufanyie sisi...grow up!!!!wewe kama ni mwanume make ur decision huyo ni mtu unayeenda kuishi nae wewe sisi wewe have nothing to advise zaidi ya kukupiga majungu tu...kwani kuvuta bangi kuna ubaya gani...kama amechange move on na maisha yenu...
uko nae sasa hiv mkuu?? Umewezaje? Hakusumbui?Hii story kama yangu vile,wa kwangu alkuwa na tabia ya kuwa na mahusiano na watu wazma toka akiwa form one tena wale matajir tu na yupo na mtoto tayar,huwa nashangaa hata ukimwi ilkuwaje akaukosa
Kuingia kwenye ndoa moja bila ni tatizo...lakni sijui nyie mmekubaliana vipi..we ingia tu..hata akija kuzingua utakuwa umeshazeeka siyo mbaya hata umri wa kufa uatakuwa tayari umefikamkuu suala la kuvuta sio tatizo kwangu amebadirika sasa hiv na hata ukimuangalia huweji jua kama alikuwa anafanya hivo vitu.
Changamoto ni mtoto. Je mzazi mwenzie hatakuja kukoroga mahusiano yangu?
mkuu suala la kuvuta sio tatizo kwangu amebadirika sasa hiv na hata ukimuangalia huweji jua kama alikuwa anafanya hivo vitu.
NLIKUWA NATAFUTA POINT YAKO IPO WAPI? (WACWAC)
NMEIPATA SASA. CKIA KAKA MTOTO ASIKUPE SHAKA, KUWA ATAWARUDISHA MCHEZON WAZAZI WAKE. MPZ WAKO KAMA N MWAMINIFU NA ANAKUPENDA HATAKUSALITI.
MWANAMKE MALAYA HATA BILA MTOTO ANAKUSALITI TU. MWANAMKE HAILEWEK KAKA.