Je atachaguliwa TCU Second Round?

mwambie Dogo atapata kwa sababu kajaza degree mbovu zote
 
Hii kweli balaaaa.
Angalia hapo ECKERN FORD UNIVRST nackiaga inachukuaga division one tupu.
Mwaka huu kitakuwa na compttn balaaaa.
Maaana waliokosa frst wote wameanza na ECKERNFORD na AJUCO
wacha kutudanganya kuwa eckneford kinachukua division one..wakati hicho chuo kipo tanga na kilivoanza kilikuwa kinachukua maksi za chini mnooo
 
wacha kutudanganya kuwa eckneford kinachukua division one..wakati hicho chuo kipo tanga na kilivoanza kilikuwa kinachukua maksi za chini mnooo

ujui mwaka chuo wameenda wenye one tupu.
 
wenye wani wapo wangi...kwani DDE inakuletea one siku hizi
 
no D ni PASS sio credit
hii second round unatakiwa kuwa very wise! kwani inazingua sana,na inaonyesha watu watapigwa chini tena, kwa mfano ukimaliza kuapply hiyo second selection logout na kisha login utaniambia pfofile inasomekaje kama huja lia uwiiiiiiiiiiiii!
 
Mkuu
Mkuu asante sana jamiiforums inahitaji watu kama wewe
 
hii second round unatakiwa kuwa very wise! kwani inazingua sana,na inaonyesha watu watapigwa chini tena, kwa mfano ukimaliza kuapply hiyo second selection logout na kisha login utaniambia pfofile inasomekaje kama huja lia uwiiiiiiiiiiiii!
Kwan inatakiwa isomeke vp?
 
Kwan inatakiwa isomekaje?
niambie kwanza kama umefanya sec.round,ukalogout na umelogin ukienda kwenye program selection inasomekaje,ndo urudi hapa kama bado hujapata jibu
 
jaman wanabodi eti hiv inamaanisha nini jaman tusaidiane
 
Attachments

  • 1473976412062.png
    141.2 KB · Views: 32
Je wakuu kuna uwezakaono wa kukosa chuo second round katika hivi vyuo nilivyochagua 1.st.john 2.Kampala 3.teofilo kisanji 4.st.john 5.eckernfode tanga two ya 12 yaani DCE HKL bachelor of arts with education
 
Mkuu hongera hapo lazima uchaguliwe tena St. John dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…