Kwanza mkuu si kweli kwamba M1 ina advantage kwa x86 kila corner Inategemea na benchmark na benchmark,
Mfano Geekbench Inajulikana miaka na miaka Ina favour Apple, hivyo toka zamani kwenye Geekbench iPhone zina nguvu kushinda pc.
Naweza ku cherry pick na mimi benchmarks ryzen 5 inaipita kwa kiasi kikubwa tu M1
View attachment 1774399
Na hapo M1 imetengenezwa kwa 5nm na Ryzen ni 7nm, ryzen ikienda 7nm bila hata Kudesign Architecture itapata boost ya perfomance.
Moja ya Sababu ambayo Intel ipo nyuma ni kwamba wame stuck kwenye viwanda vyao na 10nm.
Tuachane na mambo ya perfomance, kwanini bado Arm haiwezi kureplace x86?
1. Mkuu Arm ni walled Garden, unachopewa ndio utumie, usitegemee mastudio duniani, makampuni, workstation, power users, gamers etc uwauzie computer halafu baada ya mwaka unatoa computer nyengine unawauzia tena, wanataka ku upgrade. Na kitu hiki so far Arm wamefeli.
Chukulia mfano Ryzen toka zimetoka zinatumia motherboard moja Am4, inamaana mtu alie nunua ryzen 1600 kama miaka 5 iliopita Ana option ya ku upgrade kwenda ryzen 5 2600, 3600, 4600 ama hii mpya 5600 bila kubadilisha pc yake, na si cpu tu anaweza upgrade almost kila kitu, ram, hdd, ssd, gpu, network etc.
2. Ports na connection, ports nyingi zina husika na X86, Una option ya makumi kama sio mamia ya ports vitu kama hdmi, display port, vga, Dvi, thunderbolt, USB type C etc. Kama Umeon Mac za M1 nyingi zipo limited na monitor 1 ama 2 za nje, kazi yoyote ambayo unahitaji multi MOnitor ngumu kufanya na Arm, Inaweza kubadili ka baadae ila so far ni ngumu.
3. Compability na legacy apps.
Mfano sasa hivi virtualization yoyote kwenye M1 ni shida huwezi run os ama vitu vingi kwa VMware.
Faida ya kuwa na Arm
1. Arm inakaa sana na charge ina maana vitu vyote portable kuanzia simu, game za mkono ni laptop etc vitakaa na charge zaidi compare na X86.
2. Rahisi kudevelop vitu vidogo vidogo kama os za simu mfano wake,. Mfano leo hii mimi na wewe bila ujuzi wowote unaweza develop apps za simu ila huwezi kwa pc kama sio pro.
3. Bei rahisi lakini hapa tuna ongelea kina mediatek sio M1, laptop low end kabisa mpya unakuta ni laki 4, ila kuna chrome book za chini ya hapo Sababu ya Arm.
Hivyo mkuu vitu vitajitenga, consumer watakuja kununua Arm zaidi baadae lakini pro wata endelea kutumia X86, atleast huo ndio muono wangu.