FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,888
- 43,778
Hivi kuna mantiki ipi ya kusema kwamba taa zilizoongezwa kwenye gari (sio toka kiwandani) zitolewe kwenye magari kwani zinasababisha ajali, ila zile zilizokuja na gari (originally toka kiwandani) ziachwe regardless zina mwanga mkali sana au la. Je, hii inamaanisha kwamba zile taa zinazokuja na gari ( na nyingi huwa zina mwanga mkali kuliko hata za kuongezea), ule mwanga ukisababisha ajali, watu huwa hawafi?! Naomba maelezo kidogo kutoka kwa mtaalam.
Juzi nilikamatwa tena na kupewa vitisho na traffic yule yule kwamba eti mi ni jeuri sitaki kutoa zile stip lights nilizoweka kwenye bumper la mbele ilihali nilishazi disable na hazifanyi tena kazi, lakini cha kushangaza magari mengi ya kisasa yanakuja na inbuilt stip lights ndani ya head lamps zake, na zina mwanga mkali maradufu! Je, ajali za hizo inbuilt strip lights watu huwa hawafi???!!!!
Exhibit 1.
Hii ndio aina ya accessory led light niliyofunga kwenye bumper la mbele.
Exhibit 2.
Hii ni gari ya kisasa, Mercedes benz C300, ina inbuilt Led lights zenye mwanga mkali sana. Na zinaruhusiwa barabarani, regarless.
Unless nikadhibitishiwa kwamba, Led lights za hiyo benz zikisababishaajali watu huwa hawafi wala kuumia, basi sitatoa za kwangu za kuongeza, na nitaendelea tu kulipa faini mpaka niridhishwe na majibu.
USHAURI: Traffic police wapewe vifaa maalum vya kupima 'Luminosity index' ya taa za gari ili kubaini risk factor ya kusababisha ajali, hicho ndio kipimo sahihi! Ni kama tunavyopima pumzi ya dereva ili kubaini alchol levels, hiki ndio kipimo sahihi! Vinginevyo tunachofanya ni sawa na kusema, mtu atakaelewa pombe iliyotengenezwa nyumbani na kuendesha gari akamatwe, ila yule atakaekunywa zile whisky kali za ulaya(toka nje) aachwe, as if pombe ya ulaya ajali zake watu huwa hawafi.