Je, Afrika iko Nyuma Kwenye Sera za faragha Katika Mitandao ya Kijamii?

McLEY

Member
Mar 8, 2016
18
1
Ni kana kwamba watumiaji wengi hawazingatii sana faragha yao katika mitandao ya kijamii,kuliko vile walivyo katika maisha ya Kawaida,Je Mitandao ya Afrika yapaswa kuwa na namna tofauti ya kushughulika na hali hiyo.

E.g."
Famous Social Networking sites in Africa
  • Windoface: Popular throughout much of the world.
  • hi5: Popular throughout much of the world
  • Netlog: A blogging service available in dozens of languages.
 
Back
Top Bottom