Je 4th round ya mkopo itakuwepo?

Je 4th round ya mkopo itakuwepo?

badali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
212
Reaction score
81
Je itakuwepo 4th round ya mkopo au ndo basi tena hamna kitu
 
Mkuu kwa hali ilivyosasa na kipimo cha fasta fasta jibu langu ni patapotea ila tusubiri

TzYaViwander
 
Je itakuwepo 4th round ya mkopo au ndo basi tena hamna kitu

422 waliyobaki ni wale tu watakao appeal matokeo yao ni mwenzi wa kwanza au wa pili mwakani, utaratibu wa appeal utatolewa wiki ijayo.HAPA KAZI TU!!!
 
Awamu ya nne ipo kwa idadi iliyo baki maana kuna wale wa multiple admission ambao walifanya usajili vyuoni mwisho ilikuwa ni jana tarehe 2 so majina hayajafika heslb
 
422 waliyobaki ni wale tu watakao appeal matokeo yao ni mwenzi wa kwanza au wa pili mwakani, utaratibu wa appeal utatolewa wiki ijayo.HAPA KAZI TU!!!
Applea matokeo yake haifiki huko kwa mujibu wa Naibu waziri wa Elimu William Ole Nasha ifikapo Nov 30 matokeo ya rufaa yawe tayari.
 
Yatakuwepo wenye multiple selection wamemalza kuconfirm 2 Nov saa 2 asbh
 
Mungu atusaidie jaman, hii hatari yan maisha ya chuoni bila loan magumu hasa kwa sisi wa mlo mmoja
 
Awamu ya nne ipo kwa idadi iliyo baki maana kuna wale wa multiple admission ambao walifanya usajili vyuoni mwisho ilikuwa ni jana tarehe 2 so majina hayajafika heslb
Ni kweli inaelekea round 3 ilitoka kabla majina mengine hayajafika HESLB kuonyesha kijana amechaguliwa wapi. Sasa sijui kamahiyo italeta round 4 au ndo anaetaka aingie kwenye kapu la appeal.
 
Back
Top Bottom