JBL BoomX3

Wa
 
Anker ni mzuri ana sound n'a balance nzuri Ila Usimfanannishe n'a JBL ni habari nyingine Labda ukelee wakina Bose ,okyo,pioneer,jvc , na Bang & olufen
 
Ngoja namie NIWASANUE

Pichani hyo ni W-KING D20 aisee aisee ukiweka na hyo JBL BOOM BOX 3 nakuhakikishia utabeba hyo W-KING iko na very top quality sound kuanzia highs,mids mpaka deep bass very niceeee na bei yake ni nusu ya hyo JBL BOOM BOX 3 niliibeba kwa 750000 tu lakin SIJUTII kuchukua , ilinichukua almost miezi zaidi ya 6 kufanya best option ya kubeba Bluetooth speaker kupitia reviews nyingi za mitandaoni , w king d 20. Akawa mshindi kwangu

Pia Kuna wanyama wengine kama Hawa wakichina wanamtoa jasho JBL BOOM BOX 3 Kuna

1. TRIBIT STORM BLAST 2
2. XDOBO WOW MAX
3. ZEALOT S98/S95
4. HOPESTAR A65


at reasonable price.
 

Attachments

  • DSC_0016.JPG
    1 MB · Views: 22
  • DSC_0015.JPG
    510.4 KB · Views: 20
Hizo ni OG na zinakita kinyama....hizo nizokuwekea ni bei za China.
Tatizo ushazoea kupigwa na bei za wabongo
Huna akili kabisa ngoja nikuache nina jbl 3zote nimenunua china na bei zake zinajulikana ngoja nikupe tu screenshot ya jbl org kwa masoko ya china
 
Tizama officials store ya jbl inavyokua hapo china ni aidha iwe na nembi ya bendera ya amerika kua mzigo uko imported au 100%auntentic store kalale broo
 

Attachments

  • Screenshot_2025-07-04-21-58-14-614_com.xunmeng.pinduoduo-edit.jpg
    403.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_2025-07-04-21-58-59-584_com.xunmeng.pinduoduo-edit.jpg
    384.8 KB · Views: 12
  • Screenshot_2025-07-04-22-00-21-864_com.xunmeng.pinduoduo-edit.jpg
    312.1 KB · Views: 12

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…