inaniuma saana. siku ya shindano la mfalme wa rhymes sugu ndo aliyekuwa anampa saport hadi kumbeba mabegani. angalia video ya DARUBINI KALI utamuona SUGU akimbeba AFANDE SELE. Lakini leo anamgeuka. Kweli sanaa ya bongo yataka moyo. Mwenye access atubandikie hapa video ya DARUBINI KALI watu waone. SUGU alikuwa anamtetea hadi anataka kulia.mia
Muziki wa Hip-Hop ya hapa kwetu na Bongo Flava kwa pamoja vina historia kidogo.
Inawezekana kabisa kuna baadhi ya waimbaji wa sasa ambao wamezaliwa wakaikuta Bongo Flava ishaanza.
Wapo wasanii wengi tu, wenye historia kubwa tu na huu Muziki ambao kwa namna moja au ingine wamechangia kutufikishia hapa tulipo.
Binafsi hua namkubali sana Juma Mohammed Mchopanga (Jay Mo) kama mojawapo ya waimbaji wazuri wa huu muziki.
Ila ki ukweli huyu Msanii pamoja na kujitahidi kutunga amekua ni kielelezo tosha cha wale wasanii ambao walifanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha. Sababu kubwa ya kutofanikiwa kimuziki kupitia uimbaji kwa Msanii huyu ni kutokana na maslahi duni kutoka kwa ma-distrubutors na waandaaji wa matamasha mbalimbali. Distribuors wengi ni wadosi hivyo sihitaji kujua wanawajali vipi watanzania wa asili, but promoters tunawajua ni watanzania wenzetu hivyo inatia uchungu kutuona wakiwanyinya hawa wasanii akiwemo Jay Mo.
Mojawapo ya promoters hao ni Clouds enterainment ambayo binafsi siipendi.
Cha ajabu Jay Mo huyohuyo akijua kua kuna wanaharakati (za kimuziki) wanapinga unyonyaji huo, leo anakuja anajiunga na wanyonyaji hao against wanaharakati.
Jay Mo hakutakiwa kabisa kua hapo alipo kimaisha, lakini sijui kadanganywa na nini kukubali kujiunga na wanyonyaji hao (snitch).
Jay Mo kama kielelezo na kiwakilishi cha wasanii waliofanikiwa kimuziki lakini sio kimaisha umeniangusha sana mimi kama mshabiki wako, na ki ukweli haukutakiwa kabisa uwepo LEADERS siku ya Jumamosi, bali KIJITONYAMA kwa wanaharakati (Vinega).
hao watt awajielew hiv kwel ktk normal situation linah amemshinda j mo katika mafanikio yA kimusic wakat jmo kaanza music linah ajazaliwa kweli her mungu akunyime vitu vyote akupe hekima na akil leo jmo ana suport watu wAliomnyonya takriban miaka kumi kwel hv vituko
Mnakumbuka hii mistari ya Afande sele?
"naota ndoto za pesa mpaka naweweseka/mara natupa shuka nastuka/naota Sugu ananiita uku analalamika/mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka/duh miguu inakosa nguvu nahisi kama naanguka/kwa vile bila Sugu hapa nilipo nisingefika...
Uyo ndio baba Tunda kwa ambao walikuwa hawamfahamu.... tenda wema uende zako Sugu.
msiwalau sana wanamuziki wetu kwani mwanamuziki yeye kama yy ni ngumu kusimamama peke yake kupigania maslahi yake kwa mfano promoter anaweza kusain ideal na mwanamuzk akamlipa 2million lakini jamaa akaingiza 30million, kutokana na uelewa mdogo wa mwanamuzk na pengine hajawahi kupata kiasi cha pesa kama hicho akaona ni nyingi kumbe mwenzake ametengeza mara 15 yake. Dunia zima watu waoitwa mapromoter ni wanyonyaji sema wenzetu wa mamtoni wanakuwa na maneja na wanasheria wanaowasadia kuingia mikataba.
tatizo la hawa wasanii wa bongo ni elimu, shule hakuna vichwani mwao, kwao wao hawafanyi muziki kama ajira(kazi), kwao wao wanafanya muziki ili wasukume maisha siku ziende mbele. Kwao wao akijitokeza mtu yeyote akawapa hela ya kula kwa siku basi watamthamini huyo kuliko hizo harakati unazoongelea. Na matajiri wa mjini kwa vile wanaujua udhaifu huo wa wasanii wa kibongo basi wanautumia kuwavuruga na kuwapotezea dira. Ukiwa na elimu, ukajitambua wewe ni nani, ukatambua upo hapa duniani kufanya nini, ukatambua haki zako ni zipi......hakuna ataethubutu kuharibu dira yako.
So, mwambie jay mo aende shule.
Kinachoniboa Jaymo anajisifia kwa nyumba ya urithi, hana elimu, hana gari hana nyumba, hana hata mke. hana responsibilities zozote, anasubiri hela ya pango kila mwezi basi. jina kubwa afu huna kitu. haujagundua tu kwamba unanyonywa na hao wafu fm?
Wlijua Leaders kutakuwa na mademu kibao na ndio kilichowapeleka,Shida ni kwamba game ya bongo imejaa vilaza wasio na muelekeo wa maisha. Wengi wanafanya muziki wapate mademu na si kufanya musiki kama kazi na wawe na maisha bora pitia huo muziki. Wasanii wengi wanaendekeza dhiki na hawawezi acha kubali hivo visent toka clouds ndo mana nenda rudi maendeleo yao yatabaki kusuasua. Kujua jinsi gani wasanii wanafanya mziki kupata mademu Jay Moe katika wimbo wake mpya wa FAMOUS ana line inasema "Nimegonga madem wengi kuzidi nakala za Mamu" asa hii ni sifa au ujingaaaa na upunguani wa akili kwa mkongwe kama Jay Moe.
Ngwea alimpa kagar awe anazugia kipindikile haja amia sinza