Java update ni muhimu kwa laptop yangu?

Java update ni muhimu kwa laptop yangu?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Wadau, habari zenu? Ninayo laptop yenye OS ya windows xp.<br>Ninapoiunganisha na internet kila mara inatokeza dialogue kuniambia 'java update available' Mara nyingi naclick na inapakuliwa. Sasa hizi dialogue zimeongezeka, Kila mara java update available' kiasi cha kukera. Huwa nazishit na kuendelea na mambo yangu.<br><br><br>Naomba kuuliza: Hii kitu java inasaidia nini hasa kwenye kompyuta? Na nisipodownload ntapata hasara gani?&nbsp;
 
Baada ya kupakua huwa inakuwa installed?
BTW updates nyingi huwa zinakuwa na bugs fixes, security improvements, features mpya and sorts so mara nyingi ni muhimu kuwa na updated version
 
Back
Top Bottom