g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Jul 17, 2014 #1 Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language
Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Jul 17, 2014 #2 nenda www.arison.com ila nakushauri anza na html as basic
Aqua JF-Expert Member Joined Jul 23, 2012 Posts 1,657 Reaction score 1,236 Jul 17, 2014 #3 g.n.n said: Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language Click to expand... material na sehemu za kujifunza zipo nyingi sana online,kama ulivyowza kuja jf na kuanzisha thread unge search kwenye google ungepata sehemu kibao.Nenda w3schools au tizag.com pia unaweza search video you tube on java script .
g.n.n said: Wadau nahitaji kujifunza hii lugha, ninachohitaji kwa aliyewahi jifunza anisaidie wapi na mimi nitapata huo ujuzi online ili ni niimaster hii language Click to expand... material na sehemu za kujifunza zipo nyingi sana online,kama ulivyowza kuja jf na kuanzisha thread unge search kwenye google ungepata sehemu kibao.Nenda w3schools au tizag.com pia unaweza search video you tube on java script .
J Jitambuwe Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 174 Reaction score 141 Jul 18, 2014 #4 Jifunze kupitia link hii mimi ndipo nilopo jifunzia. Bofya hapa
kabiriga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 1,163 Reaction score 1,214 Jul 20, 2014 #5 Umechanganya mambo,Java language na java script ni vitu viwili tofauti Sasa unataka kujifunza lipi Kati ya hayo?
Umechanganya mambo,Java language na java script ni vitu viwili tofauti Sasa unataka kujifunza lipi Kati ya hayo?