Java ni nini?

Wale wanaoifaham Radio hii tafadhali nawaomba mniambie sifa za kuwa mtangazaji radioni hapo.

Java ni programn language, pia inatumik kutengeneza Operating system za device kadhaa kadhaa ikiwemo simu.
Kuna simu touch za java zipo pia
 
Na hizi simu za kichina zisizotach mfano tecno,itel,oking na nyengine zilizo na majina ya ajabu hizi nazo ni java au zinatumia os gani.
 
Hii pia ni Java
 

Attachments

  • 1432806443431.jpg
    19.4 KB · Views: 168
Mi nnachojua ni kuwa kuna visiwa vinaitwa Java
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…