Nashukuru kwa mawazo yako,nadhani hili ni darasa huru mtu yoyote yule anaruhusiwa kushiriki,sasa ndugu yangu mbona unaonesha fikra mgando za kuninyanyapaa au kwakua nimekua muwazi kuwa sijui?? Mwalimu mwenyewe aliyeanzisha thread hii hajalionesha hilo iweje wewe mwanafunzi mwenzangu? Kwani mtu akisema hajui hapo anakua anatania kweli? Au mie ndio sikuelewa pale uliposema ''msifanye jokes'' au kwakua wewe unajua so asiyejua kwako hana maana mhn?? Je Daba asemeje sasa?? Nadhani wakati mwingine kauli zako zinaweza zikamkatisha mtu tamaa badala ya kumpatia changamoto na sidhani kama hilo ndio lengo la JF!! Asante kwa maoni yako,ubarikiwe sana!!!Ukiwa kama mimi haitakusaidia, kwa sababu mimi mwenyewe nahitaji kujifunza zaidi na zaidi. Ukijua java ina class 230, na method 600 itakusaidia nini? sidhani kama kuna programer yeyote ambaye anajua packages na classes zote za java ziko ngapi. Ila unajifunza pale unapotaka kufanya kitu flani. Kwa mfano ukitaka ku add session kwenye application yako, unatafuta ni namna gani, then unakuta class ambayo inakusaidia kufanya hivyo. Katika forum kama hizi si rahisi kujifunza kutoka zero to somewhere. you need first to understand the basic concepts, the unauliza nataka kufanya kitu fulani nifanyaje? ndo unaelekezwa. unaona mimi nilikuwa nataka kuweka reporting tools kwenye ki application changu nimesaidiwa link....nikishindwa kuzitumia nasema nimefanya hivi na hivi then lakini sijafanikiwa ni wapi nimekosea?
Mwalimu wangu wa kwanza wa programming alikuwa anaitwa Funajivu UDM (siyo spelling sahihi), yeye siku zote alikuwa anasisitiza ukija kwangu usiniambie hujui kitu, ila sema unachojua na umeshindwa kufanya nini! The same phisophy applies here. Tafuta vitabu na links usome at least basic syntax. Wengine tunategemea kutumia hii tread very seriously kujifunza so tafadhali msifanye jokes. Dubo please anza darasa bwana... i realy need to learn tricks and how to's from experts. Dont start with the basic please there are alot of materials which teachs basic java programming on the net. Nilikuwa najaribu ku appload kitabu cha teach yourself java for 21 days lakini kime fail ku appload. Anayetaka anipe address yake nitamtumia kwenye CD. Kina all the basics that a begginer needs......
i realy need to learn tricks and how to's from experts. Dont start with the basic please there are alot of materials which teachs basic java programming on the net. Nilikuwa najaribu ku appload kitabu cha teach yourself java for 21 days lakini kime fail ku appload. Anayetaka anipe address yake nitamtumia kwenye CD. Kina all the basics that a begginer needs......
Unapokuwa unajifunza java kwa mara ya kwanza haishauriwi kutumia IDE, inashauriwa utumie command line prompt ku-compile na ku-run program zako. Tumia command kama javac, java na jar.thank you for your advice,seriously am new in java programming kabisaa,its true nasoma na hiyo ni assignment ya kwanza baada ya mwalimu kupiga lecture 2,ambazo hajafundisha vitu hizo!! Atleast ungetoa idea ya wapi nitapata materials ya kujifunza JAVA nikaelewa zaidi badala ya kutoa maelezo ambayo hayasaidii kunipa jibu la kile nikitakacho! Haya mwishoe ukaniuliza swali la ajabu,haya natumia NetBeans IDE version 6.9.1. Nashukuru kwa ushauri wako,nitaufanyia kazi,Ubarikiwe sana!!
Ukiwa kama mimi haitakusaidia, kwa sababu mimi mwenyewe nahitaji kujifunza zaidi na zaidi. Ukijua java ina class 230, na method 600 itakusaidia nini? sidhani kama kuna programer yeyote ambaye anajua packages na classes zote za java ziko ngapi. Ila unajifunza pale unapotaka kufanya kitu flani. Kwa mfano ukitaka ku add session kwenye application yako, unatafuta ni namna gani, then unakuta class ambayo inakusaidia kufanya hivyo. Katika forum kama hizi si rahisi kujifunza kutoka zero to somewhere. you need first to understand the basic concepts, the unauliza nataka kufanya kitu fulani nifanyaje? ndo unaelekezwa. unaona mimi nilikuwa nataka kuweka reporting tools kwenye ki application changu nimesaidiwa link....nikishindwa kuzitumia nasema nimefanya hivi na hivi then lakini sijafanikiwa ni wapi nimekosea?
Mwalimu wangu wa kwanza wa programming alikuwa anaitwa Funajivu UDM (siyo spelling sahihi), yeye siku zote alikuwa anasisitiza ukija kwangu usiniambie hujui kitu, ila sema unachojua na umeshindwa kufanya nini! The same phisophy applies here. Tafuta vitabu na links usome at least basic syntax. Wengine tunategemea kutumia hii tread very seriously kujifunza so tafadhali msifanye jokes. Dubo please anza darasa bwana... i realy need to learn tricks and how to's from experts. Dont start with the basic please there are alot of materials which teachs basic java programming on the net. Nilikuwa najaribu ku appload kitabu cha teach yourself java for 21 days lakini kime fail ku appload. Anayetaka anipe address yake nitamtumia kwenye CD. Kina all the basics that a begginer needs......
Kama umefundishwa na "Funa" utakuwa na msingi mzuri sana wa code, "Funa" ndio mwalimu wangu wa kwanza wa Programming alinifundisha Pascal programming language. Please kama umenifahamu potezea tu don't expose my identity.
Adding a calendar picker on a JSP page.
I have three combo boxes named Date,Month,Year on a JSP form. A user can scrow down and select the date, month and year. Now I wish to complicate it a bit to have a calendar image in front of the Year combo box that when a user clicks on it, can fill these valuest graphically by selecting the year,month and date. That is all for today. Good day
Mwanzo mzuri,
What about maximum daily withdrawals? sijaona ikitajwa hapo juu. Hata kama una multiple accounts, ni vyema hii iwe implemented kuwa, kama total credit unayoruhusiwa ni 2,000,000 basi, max per day ni 500,000 across all cards (mfano (shaba account holders)
Pia kuna offers ambazo credit card companies hutumia kuwavutia wateja mfano, 6Months 0% credit. Au hizi features za baadae?
......................................
Game unalotaka wewe la wachezaji wawili kwenye computer tofauti ni dhana ya distributing system. Unabidi utumie Java RMI/socket.............................
Hii darasa lako zuri lakini nashindwa kuhudhuria sababu tayari nina viproject viwili nimejipa vya kujifunza.
Having said that unaweza kunisaidi kunipa refence nzuri ya kusoma na kuelewa mambo ya RMI ili game iliyo kwenye applet iwezeshe watu wawili wa sehemu tofauti wacheze.