Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takribani wiki sasa, lengo ni kuwajuza kila kinachojiri katika mchakato wa ccm wa kumchagua mgombea wake wa urais.
Jana lile jasusi na kachero mstaafu wa idara ya usalama wa taifa Colonel Aspon Mwangonda limewasili hapa Dodoma. Amefikia katika kitori Hotel iliyopo eneo la Iringa road hapa Dodoma.
Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakisha Lowasa kamwe hachauguliwi kuwa rais wan chi hii nilimnukuu jasusi huyo akijigamba kwa mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo.
Inaelekea jasusi huyo kabadili msimamo wake kwani miezi michache tu iliyopita alikuiwa anampigia kampeni Lowasa usiku na mchana ili awe rais wa awamu ya tano. Sabau ya kumgeuka ni baada ya kunusa harufu kuwa Lowasa siyo chaguo la wenye nchi na jina lake halitarudi katika vikao vya utezi vya ccm.
Ama kweli majasusi hayatabiriki, wanabadilika kama vinyonga leo wapo huku kesho wanahamia kule. Utafiti unaonyesha kuwa sababu kubwa za Aspon kokorofishana na Lowasa ni fitna za Rostam Aziz ambaye hataki hata kumsikia Aspon kuwepo katika timu yao.
Rostam hampendi anatuhumu Asponi Mwangonda kuwa ni kibaraka wa Serikali. Hivyo alimtimua katika vikao vya vya team Lowasa.
Nitaendelea kuwajuza