Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 919 Reaction score 1,101 Feb 21, 2023 #1 Chunga sana nguo yenye jasho lako_wachawi wanatafutaga sana nguo yenye jasho lako. Nguo inatumika kukuaribia mipango yako katika ridhiki zako. • Tuwe na umakini sana na nguo zetu zilizochoka aisee... Wanga awachezi mbali na hivo vitu. • Kucha/nywele. Jaribu kuvizika. • Bora nguo kuzichoma kama ujapata watu wenye uhitaji maana wanadamu wako na roho mbaya . Kwa leo jifunze hayo..Kama uko na maswali njoo inbox... Imeandaliwa na kimodomsafi
Chunga sana nguo yenye jasho lako_wachawi wanatafutaga sana nguo yenye jasho lako. Nguo inatumika kukuaribia mipango yako katika ridhiki zako. • Tuwe na umakini sana na nguo zetu zilizochoka aisee... Wanga awachezi mbali na hivo vitu. • Kucha/nywele. Jaribu kuvizika. • Bora nguo kuzichoma kama ujapata watu wenye uhitaji maana wanadamu wako na roho mbaya . Kwa leo jifunze hayo..Kama uko na maswali njoo inbox... Imeandaliwa na kimodomsafi
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,766 Reaction score 14,785 Feb 21, 2023 #2 Ukubwa wa kinyesi chako ndio ulaji wako.kumbuka wachawi wanafatilia shibe yako. Usije kuacha mzigo njiani au kwenye mashamba ya watu
Ukubwa wa kinyesi chako ndio ulaji wako.kumbuka wachawi wanafatilia shibe yako. Usije kuacha mzigo njiani au kwenye mashamba ya watu
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Feb 21, 2023 #3 Mshaitwa inbox jamani, nendeni kwa mtaalamu....huko inbox mkampe hata broiler endapo wa kienyeji atakosekana
Mshaitwa inbox jamani, nendeni kwa mtaalamu....huko inbox mkampe hata broiler endapo wa kienyeji atakosekana
Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 12,940 Reaction score 38,037 Feb 21, 2023 #4 Mbona mnayafanya maisha kuwa magumu hivyo?
Lovie Lady JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 2,826 Reaction score 4,676 Feb 21, 2023 #5 Tunavaa nguo kwa Duah na tunazivua kwa Duah
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 Feb 21, 2023 #6 Kwa mitazamo hii,, maisha yatazidi kuwa magumu sana.
reyzzap JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 6,828 Reaction score 21,938 Feb 21, 2023 #7 Oya kulikoni mbona Unaleta Nyuzi za kichawi chawi usiku huu... Hizi mambo sio za kuzipa sana attention, wapate kikii Ukute Jf kuna mchawi🤣🤣🤣
Oya kulikoni mbona Unaleta Nyuzi za kichawi chawi usiku huu... Hizi mambo sio za kuzipa sana attention, wapate kikii Ukute Jf kuna mchawi🤣🤣🤣