Jaribuni biNu

Jaribuni biNu

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,696
Reaction score
2,592
biNu ni application ya simu ambayo inakuruhusu kutumia services nyingi za mtandaoni huku ikipunguza matumizai ya data, hivyo kuokoa gharama.

Binu inapatikana katika simu nyingi ambazo ni feature phone au smartphone(Android & Blackberry) ila sio zote. (
Almost any java phone manufactured after 2002 will work with biNu. (Minimum CLDC 1.1 and MIDP 2.0).
)

Baadhi ya services ni:
Facebook
Twitter
Youtube
biNu chat
News
Google translate.
Dictionary

nenda m.binu.com kwenye browser inayokuja na simu yako (Default browser, epuka opera au browser zengine za kuinstall).

Taarifa kamili biNu - Download
 
binu nlkuwa nayo tangu zaman sina mvuto wa muonekano wake... we nimbuzz
 
Ndio! fb wameinunua wameniboa kwel yan wasione kitu, ilikua nzur kwa kuonesha kurasa za twitter
 
binu nlkuwa nayo tangu zaman sina mvuto wa muonekano wake... we nimbuzz

Muonekano wake kweli ovyo, tumia biNu kama unataka kupunguza matumizi ya data tu, haina point nyingine.
 
mbona kila ukijaribu kuifungua inasema u have to set time and date while ziko okay?
 
Back
Top Bottom