Jaribu kuvaa viatu vya Jaji Siyani, ungeamuaje kesi ya Komandoo anayedai kateswa ukitumia Busara na Hekima?

Kwani inatumika sheria au hisia za Jaji?..

nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?....

Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
Kama ulikua haujui kuwa komando hakumfungi kufanya kazi jeshini maisha yake yote ila anaweza kwenda sehemu nyingine kuitumikia taaluma yake(ukomando) kama akiona inamfaa
 
Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza.

Kesi ya Mbowe inaweza kumalizwa kwa namna nyingine yoyote bila kuathiri sifa za Ukomandoo.

Wakati mwingine tunapaswa kuwa waelewa zaidi.

Kesi za namna hii labda zinahitaji teknolojia ya Artificial Intelligence.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Ulaaniwe kama Kaini
 
tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
Wewe ndio haujui hayo maswali msingi wake ni kuona ni namna gani mtuhumiwa alikamatwa je kuna namna yoyote haki zake zilivunjwa au sheria ilifuatwa, na Kama tulivyoona polisi hawakufuata PGO, sheria haikufuatwa
 
Kwani inatumika sheria au hisia za Jaji?..

nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?....

Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
Aliathiriwa na mabomu
 
Kwani tunaenda kusoma na kupewa majukumu ili "tuvae viatu vya wengine?"! Stick to your professional ethics kama the late Professor Baregu, Professor Assad na yule Professor was Sharia!

Usifanye kazi kumfurahisha MTU, hukukesha chuo ili uje kumfurahisha senior wako otherwise wazazi wangeuza ng'ombe pesa wakanywea supu tu kuliko kusomesha ng'ombe ngingine
Kula kwa kwanza nakuja kulipa
 
Ni hatari sn
Hakuna hatari yoyote ni namna tu ya kutanua wigo wa ajira, mfano wenzetu marekani Kuna mfumo huo komando akishamaliza muda wake either kwa kustaafu au kusitisha mkataba anaweza kuajiriwa na makampuni binafsi ambayo wakati mwingine yana maslahi mazuri kuliko hata jeshini
 
Kwani inatumika sheria au hisia za Jaji?..

nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?....

Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
Alishaondoka Jeshini
 
Peter Kibatala ni miongoni mwa mawakili wazuri sana anafaa kuwa AG.

Maswali ya wanasheria usiyabeze yako very technical.

Kwa mfano Komandoo aliposema " nilihojiwa" Jaji akamaliza kesi ndogo hapo hapo!
kwahiyo yale maneno aliyolishwa na kibatala akashindwa kuyatumia maana hajui sheria akajichanganya akasema ukweli sasa hapo mbowe anaponea wapinijeloa miaka mingi sana
 
Hakuna hatari yoyote ni namna tu ya kutanua wigo wa ajira, mfano wenzetu marekani Kuna mfumo huo komando akishamaliza muda wake either kwa kustaafu au kusitisha mkataba anaweza kuajiriwa na makampuni binafsi ambayo wakati mwingine yana maslahi mazuri kuliko hata jeshini
Balaa sn
 
kwahiyo yale maneno aliyolishwa na kibatala akashindwa kuyatumia maana hajui sheria akajichanganya akasema ukweli sasa hapo mbowe anaponea wapinijeloa miaka mingi sana
Freeman Mbowe hawezi kufungwa baba yake alipigania Uhuru wa nchi hii kwa gharama binafsi.

Hizi siasa siyo kama unavyozifikiria!
 
Komando akifukuzwa kazi anaachwa anazagaa tu mtaani, Komando anafukuzwaje kazi? Hawezi kuhukumiwa kijeshi yakaishia kijeshi huko? ( anyaway watalaam wa usalama watatuambia)..
only in Tanzania na hatakiwi afanye kazi hata ya kulinda club , kimsingi kwa tafsiri yao ukifukuzwa kazi unatakiwa ufe tu
 
Keshi huamuliwa kwa sheria sio hisia period. Jaji alitumia hisia hapo ndio penye hisia. Ukiona mtu anatete hali hii anatetea asichokijua.
 
Majaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe, Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi.

Wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Umenena ukweli mtupu. Hao iowataja walikuwa majaji hasa.

Lakini hawa maofisa wa TISS aliowapeleka marehemu mahakamani, kumeifanya Tanzania kuonekana haina jaji. Kuanzia jaji mkuu, msajili wa mahakama, jaji kiongozi - wote TISS officers, tena ambao hata huko TISS sioni kama wana chochote cha maana.
 
Majaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe, Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi.

Wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Majaji wote wa yule dhalim walikuwa wa Mkakati wa kuwafunga wapinzani na ikiwezekana hata kuwapa hukumu za kunyongwa hadi wafe.
 
Back
Top Bottom