Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
364
Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?
  • Ardhi
  • Apartment
  • Nyumba
  • Commercial Property
Tuambie chaguo lako kwenye comments au WhatsApp

0784 225 000

Kayinga Properties – Turning Opportunities into Investments

Mkuu saiz jua kali sana miagaikoni unatuchanganya tu
 
Hilo swali kama lingekuwa ni directly kwangu jibu ni hakuna kitu ningefanya kama ilivyo hakuna wa kunipa hiyo hela kwa usawa huu wa sa100 na ccm yake.
 
"Hapo kwanza navuta mchuma kama wa 80M na geto kali kinoma Halafu ndo mengine yafuatie" alisikika kijana baro baro akiongea kijiweni.
 
Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

🏡 Ardhi
🏢 Apartment
🏠 Nyumba
🏬 Commercial Property

Tuambie chaguo lako kwenye comments au WhatsApp. 👇

📞 0784 225 000

Kayinga Properties – Turning Opportunities into Investments.
Huku kwetu apartments + kilimo ndani ya misimu 2 ni bilionea aseee
 
Kama ungepewa Tsh 500 Million leo, ungewekeza kwenye nini?

🏡 Ardhi
🏢 Apartment
🏠 Nyumba
🏬 Commercial Property

Tuambie chaguo lako kwenye comments au WhatsApp. 👇

📞 0784 225 000

Kayinga Properties – Turning Opportunities into Investments.
Machaguo manne lakini ki uhalisia vyote vinne ni kitu kimoja.ARDHI.
Labda swali lingekuwa Ardhi,Magari, Wanawake,na Mifugo.
 
Kwanini upewe ? Umefanya kazi gani moaka upewe tu?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom