Jaribu hii

Mpaka hapa hakuna aliepatia hata mmoja

Hakika wote hawajapatia, Hayo maandishi mpaka uwe mchonga mihuri ndio utaweza (alafu hiyo ni picha mpaka uandike pembeni alafu ndio unaipiga picha unai-attach vinginevyo kwa kutumia keyboard hapa ni issue nzito
 
Ni kweli mimi hapa nilikuwa najaribu kuyaelekeza upande mmoja imeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…