wengine wanaweka miguu kwenye maji, wengine kunywa kahawa, wengine kufungulia muziki kwa sauti ya juu nk.
Je, miongoni mwenu kuna aliyewahi kujaribu hii!!??
wengine wanaweka miguu kwenye maji, wengine kunywa kahawa, wengine kufungulia muziki kwa sauti ya juu nk.
Je, miongoni mwenu kuna aliyewahi kujaribu hii!!??View attachment 90335
hiyo hatari !! usicheze na jicho...hakuna garantiii, Bora utumiye matunda yafuatayo:- Mamungunya, Matikiti, Maboga, nk
Lala salama usingizi mnono....Alamsiki