rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,323
- 26,196
Ili twende sawa ni lazima michanganuo inayopelekwa na waislam ijumlishwe na bilioni 331 mlizogaina hapo awali. na serikali isiyo na dini ijiandae kugawa mabilioni kwa Wahindu/buddha/wapagani/wasio na dini etc.
Hata mie nahisi hivyo kwa kusoma hapo red. Yesu alizaliwa wakati wa sensa? Over My Dead Body! Sijui ni biblia gani ameisoma asee!!Wewe si mkatoliki, kwanza hata dhehebu lenyewe hulijui labda ungeandika kwa herufi kubwa ROMAN CATHOLIC (R.C). Pia hoja zako hazina mashiko.
Kwanini sintoshoriki zoezi la sensa
mimi ni mkiristo wa dhehebu la rc.katika mafundisho yetu yesu alizaliwa wakati wa zoezi la sensa hivyo imani ya dini yangu haipingani na zoezi hilo.
Pia naelewa zoezi hili ni muhimu kwa ajili ya serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango ya maendeleo kulingana na idadi hiyo.
Pamoja na kutambua yote hayo nimeamua kutoshiriki zoezi hilo kwa sababu kuu zifuatazo
kama serikali iliweza kulazimisha tununue ndege ya thamani hata kama wananchi watakula nyasi zoezi hili ni kiini macho.serikali makini inajali huduma muhimu za wananchi na sio huduma za mtu mmoja mmoja.
Kama serikali imeshindwa kuwalipa madokta na walimi kwa kisingizio haina pesa na wakati huo huo imeendelea kuwaongeza wabunge marupurupu na posho zao pia imeendelea kununua magari ya thamani,kuongeza mikoa,wilaya na kuwa na baraza kubwa la mawaziri bado zoezi la sensa halina maana.
Kama viongozi wa serikali na wabunge wanaendelea kupelekwa kutibiwa india badala ya kuimarisha hosptal zetu sijui wanataka wajue idadi yetu ili wafanyeje.
Kama bajeti za wizara nyeti kama afya na elimu hazitengewi bajeti ya kutosha ni mipango gani watakayoipanga baada ya kutuhesabu
sababu ni nyingi siwezi kuzitaja zote nitawachosha ila kesho sihesabiwi
Aksante pamoja na mtizamo wako hasi, umeuliza swali zuri kwa nini inaogopa matokeo ya swali la sensa? Historia sahihi inaonesha Waislamu ni wengi katika nchi hii maana walikuwa hivyo sensa ya mwisho ya mkoloni 1957, Lakini pia katika Dunia makadirio ya ongezeko la watu kufuatana na dini zao yalifanywa kati ya mwaka 1935 na 1985 na matokeo kwa dini mbili kuu duniani yalikuwa hivi: Islam 235% increase, and Christianity 78% maana yake kama Tanzania ni subset ya dunia na growth rate ya kidunia ni hivyo na kwamba 1957 waislamu walikuwa wengi then automatically sensa yenye kipengele cha dini itaonesha waislamu ni wengi. HATA hivyo mtoa mada anaweza kunifafanulia zaidi:
Mfano0fisi ya waziri mkuu inadai wakristo ni 45%-waislamu 35%. TBC1, imetangazawakristo ni 52%-waislamu 32%.Bodi ya watalii -Christianity and Islam are the predominantreligions of Tanzania. About 40-45% of the population practice Christianity,about 35-40% practice Islam.,Tovuti kikatoliki (RCNet) waislamu 34%- na wakristo ni 44%
- Kwa nini taasisi mbalimbali za serikali na binafsi zimekua zikitoa takwimu za watu na dini zao?
a) kwa nini takwimu zinatofautiana? na b)kwa nini pamoja na kutofautiana zotezinaonesha wakristo ni wengi kuliko waislamu?
Sijaona umuhimu wa kutumia Roman Cathoric hapo na blaaa blaaa zako sinazoonesha hata hilo dhehubu lenyewe na viatabu vyake hauvijui. Kama maamuzi ya kutoshiriki ni yako usiingize dini sababu kuna vifungu kibao vitakavyokurazimisha kushiriki.Kwanini sintoshoriki zoezi la sensa
mimi ni mkiristo wa dhehebu la rc.katika mafundisho yetu yesu alizaliwa wakati wa zoezi la sensa hivyo imani ya dini yangu haipingani na zoezi hilo.
Pia naelewa zoezi hili ni muhimu kwa ajili ya serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango ya maendeleo kulingana na idadi hiyo.
Pamoja na kutambua yote hayo nimeamua kutoshiriki zoezi hilo kwa sababu kuu zifuatazo
kama serikali iliweza kulazimisha tununue ndege ya thamani hata kama wananchi watakula nyasi zoezi hili ni kiini macho.serikali makini inajali huduma muhimu za wananchi na sio huduma za mtu mmoja mmoja.
Kama serikali imeshindwa kuwalipa madokta na walimi kwa kisingizio haina pesa na wakati huo huo imeendelea kuwaongeza wabunge marupurupu na posho zao pia imeendelea kununua magari ya thamani,kuongeza mikoa,wilaya na kuwa na baraza kubwa la mawaziri bado zoezi la sensa halina maana.
Kama viongozi wa serikali na wabunge wanaendelea kupelekwa kutibiwa india badala ya kuimarisha hosptal zetu sijui wanataka wajue idadi yetu ili wafanyeje.
Kama bajeti za wizara nyeti kama afya na elimu hazitengewi bajeti ya kutosha ni mipango gani watakayoipanga baada ya kutuhesabu
sababu ni nyingi siwezi kuzitaja zote nitawachosha ila kesho sihesabiwi
Ume qoute lakini hujajibu hata hoja moja katiak kiambatanisho.
Pamekuwa na watu ambao wanaona Waislamu ni wajinga.Nimeambatanisha makala ya msomi wa Kiislamu na hoja alizotoa.
Changia hoja la sivyo kaa kimya.
Kwanini sintoshoriki zoezi la sensa
mimi ni mkiristo wa dhehebu la rc.katika mafundisho yetu yesu alizaliwa wakati wa zoezi la sensa hivyo imani ya dini yangu haipingani na zoezi hilo.
Pia naelewa zoezi hili ni muhimu kwa ajili ya serikali kujua idadi ya watu wake ili iweze kupanga mipango ya maendeleo kulingana na idadi hiyo.
Pamoja na kutambua yote hayo nimeamua kutoshiriki zoezi hilo kwa sababu kuu zifuatazo
kama serikali iliweza kulazimisha tununue ndege ya thamani hata kama wananchi watakula nyasi zoezi hili ni kiini macho.serikali makini inajali huduma muhimu za wananchi na sio huduma za mtu mmoja mmoja.
Kama serikali imeshindwa kuwalipa madokta na walimi kwa kisingizio haina pesa na wakati huo huo imeendelea kuwaongeza wabunge marupurupu na posho zao pia imeendelea kununua magari ya thamani,kuongeza mikoa,wilaya na kuwa na baraza kubwa la mawaziri bado zoezi la sensa halina maana.
Kama viongozi wa serikali na wabunge wanaendelea kupelekwa kutibiwa india badala ya kuimarisha hosptal zetu sijui wanataka wajue idadi yetu ili wafanyeje.
Kama bajeti za wizara nyeti kama afya na elimu hazitengewi bajeti ya kutosha ni mipango gani watakayoipanga baada ya kutuhesabu
sababu ni nyingi siwezi kuzitaja zote nitawachosha ila kesho sihesabiwi
Wewe si mkatoliki, kwanza hata dhehebu lenyewe hulijui labda ungeandika kwa herufi kubwa ROMAN CATHOLIC (R.C). Pia hoja zako hazina mashiko.
Ni kweli mkuu nakubaliana na wewe kuwa ni Mkatoriki wa Mara na siyo Mkatolikikama ukisoma biblia wakati Yesu anazaliwa wazazi wake walikuwa wameenda kushiriki kwenye zoezi la kuhesabiwa
swala la mimi kuwa mkatoriki au sio mkatoriki halikuhusu kwani wewe siyo uliyonibatiza ila swala langu la kutoshiriki zoezi hilo halihusiani ma maswala ya kiimani
Na wewe ni mkristu wa wapi? Soma luka 2: 1- 7Hata mie nahisi hivyo kwa kusoma hapo red. Yesu alizaliwa wakati wa sensa? Over My Dead Body! Sijui ni biblia gani ameisoma asee!!
2 In those days Caesar Augustus issued a decree that a census should be taken of the entire Roman world. [SUP]2 [/SUP](This was the first census that took place while[SUP][a][/SUP] Quirinius was governor of Syria.) [SUP]3 [/SUP]And everyone went to their own town to register.
[SUP]4 [/SUP]So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. [SUP]5 [/SUP]He went there to register with Mary, who was pledged to be married to him and was expecting a child. [SUP]6 [/SUP]While they were there, the time came for the baby to be born, [SUP]7 [/SUP]and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.