Namshakende
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 414
- 949
Ndugu zangu Wana Jf Habari zenu!
Mimi ni kijana wa kiume, napitia changamoto mbalimbali za kuhusiana na mahusiano yangu ya mapenzi.
Nimekuwa kwenye mahusiano kadha wa kadha, lakini yote nimekuwa nikipokea malalamiko yanayo fanana;
Nimekuwa mtu wa majibu mafupi sana, messages na jibu pale nikijisikia kujibu, simu ndo sitaki kabisaa kupokea, kubembeleza siwezi kabisaa na nipo tayari kuvunjaa mahusiano muda wowote !
Mbaya zaidi, mwanamke nampenda / tamani pale nikimuona, akiondoka /nikiondoka na poteza interest naye kabisa.
Nimejaribu kubadilika japo niwe romantic kidogo, lakini nimeshindwa !
Naombeni msaada wa nini nifanye, natamani niwe na positive attitudes kwenye mahusiano.