Kama account yako ina kiasi cha fedha kisichopungua mara 5 ya thamani ya hizo gari basi waweza nunua Touareg.
Ila kama manunuzi yako yatasapotiwa na mkopo toka taasisi yeyote ya kifedha tafadhali nunua prado bila kusita.
Kwa Japan zipo gari zinatengenezwa kwa ajiri ya Afrika,third world kwa ujumla,lakini Kuna ndinga zinatengenezwa kwa ajiri ya soko la ulaya,mfano,LEXUS(,luxury export to US),ilikuwa brand mahususi kwa ajiri ya soko la Amerika,Ipi pora kati ya land cruiser Prado 2015 vs Vw tourage with ther same registration years
Ipi bora kwere fuel consumption
Of road and onroad stabilic durability etc
Wataalamu naombeni elimu wakuu
View attachment 2287056View attachment 2287057
Duh, kumbe ndo kirefu cha lexusKwa Japan zipo gari zinatengenezwa kwa ajiri ya Afrika,third world kwa ujumla,lakini Kuna ndinga zinatengenezwa kwa ajiri ya soko la ulaya,mfano,LEXUS(,luxury export to US),ilikuwa brand mahususi kwa ajiri ya soko la Amerika,
Ndio mkuu