Pasipob kupoteza muda naomba niende kwenye mada Moja kwa Moja
Nimeandaa Uzi huu Kwa lengo la kuposti magari used Toka Japan na Bei zake yakiwa bila Kodi lkn pia yakiwa yamejumuishwa Kodi na ni Kodi zipi na mtu anapaswa kulipa Kwa awamu ngapi na kutakuwa na full details za kila GARI ninalolipost
Kutakuwa na faida mbalimbali za kuagiza nasi magari Toka Japan tutakusaidia kulipa bima na kufanya usajili kutoka kwenye kiasi ulicholipa
Toyota harrier
Ivi waagiza magari na wauza magari wateja mnapata kweli?, kwa usawa huu vyuma vilivyokaza Inashanga wauza magari kuzidi kuongezeka kila kukicha ni ipi siri yenu Mkuu