Naona tunashangilia lakini ni lazima tuelewe hii ni mipango tu hatujaona hizo investment bado. Kuhusu hao wanaotaka tutengeneze magari wateja wako wapi Tanzania ina magari yasiozidi milioni mbili mengi ya mashirika ya uma na serikali hayatoshi hata tukichanganya na majirani. Kitu kingine hatuna wafanyakazi wenye utaalamu wa kutosha kujenga viwanda vya magari. Hivyo tusitegemee magari kutengenezwa Tanzania. Ni wape mfano mdogo State ya California pekee ina magari millioni 32 ambayo ni zadi ya mara 16 ya magari yote Tanzania!!