M Mijicho JF-Expert Member Joined Jan 20, 2009 Posts 288 Reaction score 226 Jan 2, 2020 #1 Habari wadau, January ndio hiyo imefika, wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu, maana sioni mwanga kabisa.
Habari wadau, January ndio hiyo imefika, wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu, maana sioni mwanga kabisa.
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,538 Reaction score 18,754 Jan 2, 2020 #2 Ngoja waje kukupa muongozo
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,468 Reaction score 20,881 Jan 2, 2020 #3 Mijicho said: Habari wadau, January ndio hiyo imefika,wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu,maana sioni mwanga kabisa. Click to expand... Kwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar?
Mijicho said: Habari wadau, January ndio hiyo imefika,wale wenzangu na mie ambao ada ya watoto ni tatizo mje tupeane mbinu,maana sioni mwanga kabisa. Click to expand... Kwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar?
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,833 Reaction score 113,215 Jan 2, 2020 #4 Mkuu, minadhani swala la ada sio dharura. Hivyo mpaka sasa ulipaswa uwe tayari ushawalipia hata nusu ya ada Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, minadhani swala la ada sio dharura. Hivyo mpaka sasa ulipaswa uwe tayari ushawalipia hata nusu ya ada Sent using Jamii Forums mobile app
Bossless JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 1,381 Reaction score 2,950 Jan 2, 2020 #5 Usituchoshe bwanaa wee Sent using Jamii Forums mobile app
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Jan 2, 2020 #6 Mkiambiwaga mtafute ada miezi miwili hadi mitatu nyuma wabishi..pambana Sasa watoto waende shule. Sent using Jamii Forums mobile app
Mkiambiwaga mtafute ada miezi miwili hadi mitatu nyuma wabishi..pambana Sasa watoto waende shule. Sent using Jamii Forums mobile app
M Mijicho JF-Expert Member Joined Jan 20, 2009 Posts 288 Reaction score 226 Jan 2, 2020 Thread starter #7 13 mega pixel said: Kwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar? Click to expand... Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka
13 mega pixel said: Kwanini mkuu, ulikuwa haujajipanga?am ulilewa sifa bar? Click to expand... Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka
M Mijicho JF-Expert Member Joined Jan 20, 2009 Posts 288 Reaction score 226 Jan 2, 2020 Thread starter #8 Ushimen said: Mkuu, minadhani swala la ada sio dharura. Hivyo mpaka sasa ulipaswa uwe tayari ushawalipia hata nusu ya ada Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwasasa dharura zimekua nyingi mkuu,wacha tutaona ,imani ndio itanisaidia sasa
Ushimen said: Mkuu, minadhani swala la ada sio dharura. Hivyo mpaka sasa ulipaswa uwe tayari ushawalipia hata nusu ya ada Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwasasa dharura zimekua nyingi mkuu,wacha tutaona ,imani ndio itanisaidia sasa
The Wolf JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,468 Reaction score 20,881 Jan 3, 2020 #9 Mijicho said: Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka Click to expand... Ila siku zote kuna njia, kwani kuna siku mtoto ameshindwa kwenda shule?stop stressing ataenda shule kwa namna yoyote na njaanuary itapita hivi...
Mijicho said: Hata kujipanga imeshindikana mkuu,namuachia Mungu sasa anionyeshe njia,kibinadamu nimechemka Click to expand... Ila siku zote kuna njia, kwani kuna siku mtoto ameshindwa kwenda shule?stop stressing ataenda shule kwa namna yoyote na njaanuary itapita hivi...
MLEVi Mmoja JF-Expert Member Joined Jun 29, 2019 Posts 8,512 Reaction score 15,128 Jan 3, 2020 #10 Njoo bar tunywe na tule nyama ya kuchoma na wabebes pembeni huku tukifikiria tufanyaje sometimes majumuiko na pombe zinasaidia Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo bar tunywe na tule nyama ya kuchoma na wabebes pembeni huku tukifikiria tufanyaje sometimes majumuiko na pombe zinasaidia Sent using Jamii Forums mobile app