Mwanafikra huru
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 141
- 18
Habari ndugu
Unadhni ni kijana gani anaye fanya vizuri na ambaye awe mfano wa kuigwa kwa vijana wenzake kwa siasa za Tanzania kwa sasa,kwa sababu zako unazo zijua wewe?
Mimi nimemchagua January Makamba
sababu ni smart brain na yuko focused katika anacho kifanya katika uwanja wa siasa na sio mropokaji
Zitto Zuberi Kabwe, anatosha kwa sifa lukuki.
Ngongo.
Nimeipenda hii. Mleta mada angejiuliza kwanza yeye ni kijana?
Anadhani kwa nafasi aliyonayo kwenye jamii anafanya vizuri?
Brain yake ni smart na yuko focused katika anachokifanya katika fani yake?
Tuache kutegemea watu wengine kujiletea meandeleo.
Kila mtu ana wajibu wake kulingana na nafasi yake kwenye jamii.
Afanye part yake, others will do theirs.
Kama brain yake siyo smart kama ya Makamba, basi afanye mpango wa kuimarisha ubongo wake uliodumaa.
kumbe hata watu wazima wana wivu wa kijinga hivi? Fanya kaazi jamii ikutambue huitaji kujitangaza watakutangaza ViVa January Makamba
Habari ndugu
Unadhni ni kijana gani anaye fanya vizuri na ambaye awe mfano wa kuigwa kwa vijana wenzake kwa siasa za Tanzania kwa sasa,kwa sababu zako unazo zijua wewe?
Mimi nimemchagua January Makamba
sababu ni smart brain na yuko focused katika anacho kifanya katika uwanja wa siasa na sio mropokaji
Kwa nini niwe na wivu na Makamba?
Unadhani wote wanaofanya kazi wanatambulika na jamii?
If so wewe si ungekuwa unatambulika na kujisifia mwenyewe badala ya kusifia wengine (if una hiyo smart brain at all)?
Wewe unamjua na kumtambua alitengeneza Java unayoitumia kwenye kopyuta yako kila siku (if you know Java anyway)?
Kila mtu apige kazi kwa kutumia nafasi aliyonayo kwenye jamii yake.
Siyo kukaa hapo unapigia gumzo bidii za watu wengine wakati huna mchango wowote kwenye jamii.
Play your part, others will do theirs. It is only by playing your part (rather than kutegemea wengine) that we will reach our destination.
mkuu povu lote la nini hili?
Leo tukimzungmzia Bill Gate haimanisha hatuna kazi ya kufanya,au Jk Nyerere kwa umahili wake katika siasa ,Mtu sifa yake mpe na kama wewe huna fight kuwa nayo au kuwa kama yeye
Na hiyo ndo taswari ya vijana kujifunza kwa wale walio watangaulia
)( punguza wivu
Nimeipenda hii. Mleta mada angejiuliza kwanza yeye ni kijana?
Anadhani kwa nafasi aliyonayo kwenye jamii anafanya vizuri?
Brain yake ni smart na yuko focused katika anachokifanya katika fani yake?
Tuache kutegemea watu wengine kujiletea meandeleo.
Kila mtu ana wajibu wake kulingana na nafasi yake kwenye jamii.
Afanye part yake, others will do theirs.
Kama brain yake siyo smart kama ya Makamba, basi afanye mpango wa kuimarisha ubongo wake uliodumaa.
Kwa nini niwe na wivu na Makamba?
Unadhani wote wanaofanya kazi wanatambulika na jamii?
If so wewe si ungekuwa unatambulika na kujisifia mwenyewe badala ya kusifia wengine (if una hiyo smart brain at all)?
Wewe unamjua na kumtambua alitengeneza Java unayoitumia kwenye kopyuta yako kila siku (if you know Java anyway)?
Kila mtu apige kazi kwa kutumia nafasi aliyonayo kwenye jamii yake.
Siyo kukaa hapo unapigia gumzo bidii za watu wengine wakati huna mchango wowote kwenye jamii.
Play your part, others will do theirs. It is only by playing your part (rather than kutegemea wengine) that we will reach our destination.
Notion nzima ya "role model" inapitwa na wakati. The world is moving towards more personal responsibility/ bottom-up approaches with more focus on grassroots efforts and less hagiographical awe.
Hata Papa mpya kabla ya kuwabariki watu aliomba watu wambariki.
Now when you see the Vatican, one of the most consevative bodies on the planet, do that, however superficial, you have to read the signs of the time.
I would be keener on which idea/movement/trend to emulate.
Not a person.

Unaposema ana brain smart una maana gani? Maana kuna vichwa ambavyo pengine visingezaliwa sijui dunia hii ingekuwaje for instance Michael Faraday,SIR ISSACK NEWTON, Nelson Mandela na wengine wengiiii! Sasa huyu kijana ana lipi jipya zaidi ya kusugua kucha barber shop? Acha hizo bro!
Tatizo ambalo naliona ni kwamba watu hawatilii mkazo majukumu yao.
Sasa inapotokea mtu anatilia mkazo majukumu yake anaonekana ni exceptional na role model kwenye jamii wakati anatimiza wajibu wake kwa nafasi aliyonayo kwenye jamii.
Nita circumvent point ya JF Kennedy na kusema kuwa kabla ya kuuliza Kiranga ameifanyia nini nchi yake itabidi nijiulize kwanza mimi nimeifanyia nini nchi hii.
Otherwise, I don't see the the relevance of discussing a person.
As Eleanor Roosevelt once said "Great minds discuss ideas. Average minds discuss events. Small minds discuss people."