January Makamba yupo nyuma ya MB 8

January Makamba yupo nyuma ya MB 8

DMV

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
58
Reaction score
63

January Makamba yupo nyuma ya MB 8

Ni mpango ulio sukwa nginganginga ili kuwafungia vijana (wanafunzi wa secondary na vyuo) kufanya mawasiliano ya kupashana na kubadirishana mawazo juu ya mstakabali wa nchi yetu na uchaguzi mkuu. Lengo ni kuwafanya vijana hawa washindwe kumudu gharama za kuwa "online". Wengi wa vijana hawa mwaka huu itakua ni mara ya kwanza kupiga kura. Ni vijana walio zaliwa miaka ya 1993, 1994, 1995 na 1996 na 1997 ambao wanaitwa dot.com generation na ni tishio kwa chama tawala.

Ikumbukwe; Makamba Jr. alikuwepo kwenye mchezo wa kushinikiza Bunge lisionyeshwe "LIVE" ili kuwanyima waTanzania uhuru wa kupata habari; tena kupitia television ya Taifa.

Makamba anatumia wadhifa wake kukandamiza uhuru wa vijana wenye vipato vya chini kupata habari.
 
makamba anacheza ngoma ya wakubwa tu.Voda utaambiwa yumo lowassa,rostam,msekwa...airtel utaambiwa yumo mwinyi.
 
Dawa yao ni kuweka Whatsapp line ya tgo au voda huku kifurushi ni cha Airtel au Zantel (ngoma inakuwa droo). Hapa voda au tgo hawa ambulii hata senti1, huku una enjoy buree!

Kuperuzi JF , websites, na blog mbalimbali kunabaki kama pai.

Eliakimu maswi "ukimwaga mboga mm namwaga ugali".
 
Makamba hawezi kuwa Rais hata siku moja. Ikulu siyo mahali rahisi pa kukimbilia. Makamba wewe bado kijana subiri kama miaka ishirini ijayo.
 
January Makamba hajawahi kupata uhuru wa kufikiria, kila kitu anasaidiwa kufikiri na baba yake Yusuph Makamba ambaye ni political failure aliyekubuhu.
 
Haiingii akilini kwamba January ambaye ni mgombea kijana azuie mjadala wa vijana wenzake anaowategemea wamuunge mkono huku akijua kufanya hivyo kutapunguza ushawishi wake kwao. Ungesema wapinzani wake labda wamekula njama ili January aonekane kashindwa ningekuelewa kidogo.
 
January Makamba yupo nyuma ya MB 8

Ni mpango ulio sukwa nginganginga ili kuwafungia vijana (wanafunzi wa secondary na vyuo) kufanya mawasiliano ya kupashana na kubadirishana mawazo juu ya mstakabali wa nchi yetu na uchaguzi mkuu. Lengo ni kuwafanya vijana hawa washindwe kumudu gharama za kuwa "online". Wengi wa vijana hawa mwaka huu itakua ni mara ya kwanza kupiga kura. Ni vijana walio zaliwa miaka ya 1993, 1994, 1995 na 1996 na 1997 ambao wanaitwa dot.com generation na ni tishio kwa chama tawala.

Ikumbukwe; Makamba Jr. alikuwepo kwenye mchezo wa kushinikiza Bunge lisionyeshwe "LIVE" ili kuwanyima waTanzania uhuru wa kupata habari; tena kupitia television ya Taifa.

Makamba anatumia wadhifa wake kukandamiza uhuru wa vijana wenye vipato vya chini kupata habari.

Umekurupuka kabisa kasome tamko la TCRA ndio uje uropoke hapa kawasome TCRA! Hakuna uhusiano wa hizo MB 8 na makamba! Weka hapa ushahidi kama unao sio maneno na hisia!
Hiyo mitandao ili eleza wazi sababu za kupandisha! Acha uzushi!
 
Last edited by a moderator:
Inaweza kuwa kweli lakini pia huenda ni mwendelezo wa kuchafuana kwa wasaka uraisi ndani ya CCM.

Mkuu,
Hilo ni kweli kabisa, wamegundu Internet itawaondoa madarakani

Huyo kipara ndio kaja na hiya idea.

Huko kuchafuane ni kwa ajili kaonyesha wizara yake kashindwa kuimudu ama hii habari

Kama ni waziri husika mbona hajatoa tamko?

Kwa nini garama za Internet zimepanda kwa asilimia 400? Na wizara ipo kimia?

Badle la mwezi tGo ilikuwa 30,000 GB 30 sasa ni GB5 kwa 25,000. Unategemea makamba hajui?
 
Umekurupuka kabisa kasome tamko la TCRA ndio uje uropoke hapa kawasome TCRA! Hakuna uhusiano wa hizo MB 8 na makamba! Weka hapa ushahidi kama unao sio maneno na hisia!
Hiyo mitandao ili eleza wazi sababu za kupandisha! Acha uzushi!

Weka na wewe ushahidi unatokwa na povu ama wewe ndio mrs makamba.?

Jibu hoja sio viroja weka ushahidi wako why gharama za data zimepanda 400%?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom