January Makamba ni Obama ajaye?

Upumbavu mtupu
 
Amekuagiza umfanyie kampeni
Kwa taarifa yako hapewi Wala asijidanganye kuomba
 
Rubbish acha kujipigia debe
 
Sijasoma uzi lkn hakuna ujinga unaoniudhigi kama kufananishia watu.
Obama ni obama na makamba ni makamba
 
Marekani wakithibitisha kuwa Obama amefanana na MAKAMBA, lazima wataifunga kliniki na hospitali aliyohudumiwa mama yake Obama mpaka Obama akazaliwa, kwanini hawakuitoa hiyo mimba
 
Ningekuwa moderator ungekula ban, muone bichwa kama kalai
 
Kwa Chama kile halishindikani jambo....ila ntaamini wazi mzee yule mnene msataafu Wa Mbezi aliyefia kwa madiba,alikufa na uwezo wake kwa kufanya scouting yenye maslahi kwa jamhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…