January Makamba ni Obama ajaye?


Bado ana swaga zile za ki chuo chuo za kuiga
 
Hizi mada za kipumbavu mnaandikaga mkiwa wapi? Yaan jitu la hovyo unakuja lifananisha na raia ambaye alikuwa tyr kufanya lolote kwajili ya taifa lake?

Obama mwenzenu alikuwa tyr hata kujichafua na kupata sifa mbaya kwa wafuasi wa mataifa mengine lkn kwenye kutimiza agenda za taifa lake alikuwa mbele sana, just imagine skendo za , kumng'oa gadafi aliyekuwa kikwazo kwa USA na washirika wake, obama alibeba lawama hizi kila pande za dunia kuwa kahusika kumuuwa gadafi ilimladi tu atimize agenda za nchi yake,

sasa huyo kikaragosi wako anaweza kufanya jambo lolote la kujisacrifice sabbu ya waTz na nchi ya Tz?

Muachage kufananisha Viongozi na hawa vibaraka wenu wapumbavu
 
Mada Bichwa komwe, na mletewa mada vime balance .
 
Mada Bichwa komwe, na mletewa mada vime balance .
 


Umetumwa umfanyie kampeni mapema??
 
Hakuna kitu pale. Unalikosea heshima hilo jina la "Obama"
 
Aisee! Unalinganisha Obama na vitu vya ajabu? Makamba ni mpuuzi sana. Visambaa vya hovyo Sana!
 
Kwa nchi hii ya majuha inawezakana kuwa na rais kama huyo. Hii nchi ni kama wamejikotea tu. Ukiongezea na kuwa na wapambe kama wewe ndio mzigo uwe mzito kabisa.
 
Kwamba naye ni nusu mtu nusu pepo kama OB.
 
Maake hapo kwanza ncheke
 
Mmh! Sidhani kama anafanana na Obama. Obama alikuwa na speech za mvuto. Akiongea wasikilizaji wanakuwa captivated. Pia alikuwa anapendwa sana na makundi yote. Sasa sijui kama huyu January ana traits hizo zaidi ya kuzilazimisha kwa kukunja mashati tu!!!
 
Naunga mkono hoja
Anza hapa January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President kisha January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. kisha January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…