thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Na silinde.Hao ni wazee sasa!
Pamoja na Kigwangalla na yule Mwigullu.
Hii ni zamu ya akina Shigongo MwanaFA na Babu Tale!
Kwahiyo hao ni zilipendwa?Na silinde
Sisiemu ina wenyewe na wenyewe ndio wale
Na Katambi!Na silinde
Sisiemu ina wenyewe na wenyewe ndio wale
Hao hata majimboni wamewachoka wanataka damu mpya sema tu waliamua kupitia dirishani kuingia bungeni.Kwahiyo hao ni zilipendwa?
Timu Membe hao imewaponza, walikua wanavujisha za mzee jiwe, akaona isiwe tabu, wampishe tuHao ni wazee sasa!
Pamoja na Kigwangalla na yule Mwigullu.
Hii ni zamu ya akina Shigongo MwanaFA na Babu Tale!
Hao ni wazee sasa!
Hakika hii ndio sihasa!!Na Katambi!
Hao wameshaxeeka kisiasa!Timu Membe hao imewaponza,walikua wanavujisha za mzee jiwe,akaona isiwe tabu,wampishe tu
UVCCM mwisho miaka 35 ila ukitokea Zanzibar ni 45 kama akina Kibabu Sadifa!Hiv huko CCM ujana mwisho miaka mingapi?
Nyie ndio mnasababisha hata sera ya vijana isitekelezeke!
Hao bado sanaHiv huko CCM ujana mwisho miaka mingapi?
Nyie ndio mnasababisha hata sera ya vijana isitekelezeke!
Bashite naye ni timu Membe?Timu Membe hao imewaponza,walikua wanavujisha za mzee jiwe,akaona isiwe tabu,wampishe tu
Noma sanaMaisha yanakwenda kasi sana January Makamba & Nape Mnauye siku hizi wanauliza maswali wanajibiwa Silinde.
CCM ingekubali kushindwa katika majimbo yao endapo wasingepita bila kupingwa?Hao hata majimboni wamewachoka wanataka damu mpya sema tu waliamua kupitia dirishani kuingia bungeni.