Hasa buyu wa bumbuli amezidi sanaWote wapigaji tu hakuna mwenye nia njema na wananchi
Hakuna lolote amefeli kabisa na hilo lilijionyesha tangu siku ya kwanza ameingia wizarani.Huo ndio ukweli, sababu zilizo nje ya uwezo wake ndio hasa zinazo mkwamisha,
Mvua zimegoma kunyesha, na nchi yetu inatumia umeme wa mabwawa ya maji kwa kiasi kikubwa, na hayo marekebisho, mfano morogoro tanesco pale msamvu kuna kituo cha kupooza umeme ambacho kina changamoto mara kwa mara na kusababisha shida ya huduma
Ukisema hivyo unamaanisha hata Rais? Mbona Mama anaonesha dhamira ya kutuachia kumbukumbu nzuri.Wote wapigaji tu hakuna mwenye nia njema na wananchi
Awapi usione nguzo imependeza kwa nje ndani kweupe imeliwa na mchwaUkisema hivyo unamaanisha hata Rais? Mbona Mama anaonesha dhamira ya kutuachia kumbukumbu nzuri.
Chuki binafsi alikuwa anataka kumfunika mtangulizi wakeWaliomshauri asafishe uongozi wa Tanesco walimuingiza chaka sana.
Ni sawa kuingia hazina unatoa wachumi na makashier hadi self huku wewe huna utaalamu huo.
Mimi naamini Mama Samia ni mzalendo na haitatokea akawa mpigajiAwapi usione nguzo imependeza kwa nje ndani kweupe imeliwa na mchwa
Mzalendo labda kwenye familia ako, kama ni mzalendo mbona hataki mshahara wake ukatwe kodi? kwanini hataki VOTE ya ikulu ikaguliwe na CAG?Mimi naamini Mama Samia ni mzalendo na haitatokea akawa mpigaji
Wametengeneza tatizo mkuuYaani miundo mbinu imeharibika ghafla ilipogundua tu kawa waziri?
Mabwana ya maji nayo ghafla yakayameza maji yalipojua kateuliwa?
Au wametengeza tatizo waje wajifanye katatua ili ajijenge kisiasa?
Unamua huyo mama alidhania nchi ni NGO na washauri wake mazuzu wote! Nakutaka kumprove wrong Magufuli ndo kunamkositi mpaka mwisho wake! Wafanya biashara ndo wanakwepa kodi kama kawa! Hakuna risti wala nini!Chuki binafsi alikuwa anataka kumfunika mtangulizi wake
CCM wote wapiga dili hakuna wa maanaUnamua huyo mama alidhania nchi ni NGO na washauri wake mazuzu wote! Nakutaka kumprove wrong Magufuli ndo kunamkositi mpaka mwisho wake! Wafanya biashara ndo wanakwepa kodi kama kawa! Hakuna risti wala nini!
Familia ya wanasiasa wakongwe!!??Nimepita kwenye account za Januari Makamba,Matusi na kejeli za wananchi wenye hasira za mgao wa umeme zimekua nyingi.Na nyingi zikijielekeza na kukumbushia miaka 5 ya Magufuli kuwa umeme haukukatika na hata kama ulikatika sio kwa kiasi hiki.
Mimi sio mtaalam wa umeme ila ntatoa hoja yangu kisiasa zaidi, inajulikana wazi Makamba ni mwanasiasa kijana ambaye yuko very ambitious, sihitaji kukumbushia nafasi yake katika mbio za urais za 2015,na wengi tunaamini mbio zake za urais hazijakoma ingawa kwa miaka 5 iliyopita mambo hayakuwa marais kwake.
Amekuja mama Samia na kumrudisha uwanjani baada ya kukaa benchi mda mrefu.hii ni fursa hadhim kwake kufufua ndoto na matarajio yake. Kwa kawaida mchezaji anayetoka benchi anakuwa na nguvu mpya bila kuacha makeke mengi.
Sio rahisi mchezaji anayetoka benchi na kuona makosa mengi ya wachezaji wenzake aanze kwa kujifunga goli la makusudi kabisa ukichukulia mtu kama Makamba ni mwanasiasa aliyetoka kwenye familia ya wanasiasa wakongwe.
Naamini kabisa kinachoendelea kuhusu umeme ni kama jumba bovu lililomwangukia Makamba mara tu baada ya kuingia kama mpangaji mpya.
Nikirejea kauli yake ya kuwapa TANESCO wiki mbili na ile ya mitambo kutofanyiwa matengenezo kwa uoga wa watu,naamini kabisa kuna sababu iko nje ya uwezo wake inayosababisha umeme kukatika.
Nawasilisha