SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Si report ya kwanza wala ya pili ya makinikia niliyomuona ndugu January Makamba katika viwanja vya ikulu. Nilijaribu kwelikweli kuangaza lakini sikumuona kabisaa
Lakini nimesubili saana walau kusikia msimamo wake hasa ukizingatia makinikia yanachangia sana kuharibu mazingira, lakini waapi
nikasema labda ataibukia Bungeni kulizungumzia lakini wapi
hii hali ikawasha taa nyekundu, nikaona nizame kwenye kumbukumbu zangu kuona kama kuna tukio lolote alilofanya Mh Rais na Makamba akaibuka kumpongeza, HUKO PIA NIMEAMBULIA PATUPU
toka Mh rais alipopiga marufuku sherehe za uhuru, akatembelea bandarini, akatumbua mafisadi, akanunua bomberdier, akazindua fly over, akamtumbua mkurugenzi wa tanesco, akamtetea bashite, akaunda tume za makinikia, mpaka amekabidhiwa report, na mwisho hadi barric wamekubli kutulipa bado MAKAMBA HAJAONA LA KUPONGEZA wala LA KUZUNGUMZIA
HM MAKAMBA kwa nini UMEZIRA,