OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
alienda kuwafundisha mbinu za kuiba mtihani au nini?
makamba alichoharibu nikutubania MB's tunashindwa kupakua materials..
Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu
Mbona enzi za nyerere MB hazikuwepo na watu walikuwa wanasoma, tatizo mi wanafunzi ya siku hizi haipendi kusoma kazi kwenda club tu
How???