Jamal Akbar
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 413
- 473
MWIGULU NCHEMBA V/S JANUARY MAKAMBA kila mmoja akijaribu kuvutia kwake ngozi ya kondoo ili ajivike kwa lugha na ukarimu na busara za UONGO ILI KUWANASA WATU WASIOPENDA KUANGALIA RECORD YA MTU YA MIAKA 15 ILIYOPITA/E.N lowassa for the future of our country TANZANIA
poleni sana japo hakuna mada hapa lakini habari ya mjini kwa tarifa tu nawapeni nu ukawa
krap krap krap krap
kijana anatisha sana kwa uwezo wake wa kuchanganua mambo na uelewa wake ni mkubwa sana ndani ya ccm.big up january makamba.kijana naona amekuwa tishio mjini hapa,anawatia jamba jamba wakina lowassa na wenzie wenye kuutaka urais,lakini kijana yuko vizuri anauwezo sana wa kuwashawishi watu wamkubali na mzalendo wa kweli kuliko hao wengine wanaotajwatajwa kugombea urais 2015.
vijana tuamke tujipiganie wenyewe vijana tusikubali kuongozwa na wazee tu kila wakati,wakati ndio huu wa kijiongoza sisi wenyewe.kila la kheri ndugu january makamba.
mungu wangu mnataka kumpa lowassa?tumekwisha watanzania...kwa lowassa?si mnakumbuka RICHMOND ndio matokeo ya haya tunayoyasikia kuhusu IPTL/ESCROW, jamaa mpigaji sana.nyerere alikuwa na maono sana.