Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Okay hifadhi!Naomba
Nihifadhi tusi kwa matumizi ya badae
Keep that word, ana kila dalili, amerudishwa kwenye uwaziri sasa!mavi ya kuku
Nimewatukana vipi kaka?bila aibu umeamua kuwatukana watanzania
Kweli?!Huyu jamaa naona watu wanamsifia ila hana kismati cha kupendwa na watu akaoge dawa kwanza
Rais wa Wasafi.Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.
Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
kama wizara imemshinda, nchi ataiweza?Nimewatukana vipi kaka?
Kwa hyo mtu akirudishwa kwenye uwaziri atakuja kuwa rais.?Keep that word, ana kila dalili, amerudishwa kwenye uwaziri sasa!