commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,957
Hatutaki vizazi vya laana za wana mtandao humu.Ni swali wakuu. Ndugu yetu huyu ni mwanadiplomasia sana. Mshiriki mzuri wa siasa za nchi kwa kuwa ametumia muda wake mwingi kulijenga Taifa akiwa hewani+hewani tena na barabarani.
Ni mstaarabu mno kiasi kwamba anaeleweka mpaka kwa watu wenye uhitaji na maono "mafupi' tu.
Nchi yetu ni maskini na 75% tuna maono mafupi. Ndugu yetu kawafikia wengi katika vipindi tofaouti na kwa muda mrefu.
Hatutegemei kuwa na viongozi malaika na mazingira yetu na kutengeneza nguzo imara za Nchi yetu, ndiyo maana nauliza hivyo.
Naleta humu na asanteni kwa yote.
Acha kejeli, Makamba Jr is smartumetumwa kumpigia debe?
Huyu jamaa anafaa kuwa Raisi,Waziri mkuu,au Waziri wa Tamisemi,Waziri wa fedha,Nishati na madini.Ni swali wakuu. Ndugu yetu huyu ni mwanadiplomasia sana. Mshiriki mzuri wa siasa za nchi kwa kuwa ametumia muda wake mwingi kulijenga Taifa akiwa hewani+hewani tena na barabarani.
Ni mstaarabu mno kiasi kwamba anaeleweka mpaka kwa watu wenye uhitaji na maono "mafupi' tu.
Nchi yetu ni maskini na 75% tuna maono mafupi. Ndugu yetu kawafikia wengi katika vipindi tofaouti na kwa muda mrefu.
Hatutegemei kuwa na viongozi malaika na mazingira yetu na kutengeneza nguzo imara za Nchi yetu, ndiyo maana nauliza hivyo.
Naleta humu na asanteni kwa yote.
Huo upole wake wa sasa ni kwa sababu he aint one of the chosen few like he used to.Ni swali wakuu. Ndugu yetu huyu ni mwanadiplomasia sana. Mshiriki mzuri wa siasa za nchi kwa kuwa ametumia muda wake mwingi kulijenga Taifa akiwa hewani+hewani tena na barabarani.
Ni mstaarabu mno kiasi kwamba anaeleweka mpaka kwa watu wenye uhitaji na maono "mafupi' tu.
Nchi yetu ni maskini na 75% tuna maono mafupi. Ndugu yetu kawafikia wengi katika vipindi tofaouti na kwa muda mrefu.
Hatutegemei kuwa na viongozi malaika na mazingira yetu na kutengeneza nguzo imara za Nchi yetu, ndiyo maana nauliza hivyo.
Naleta humu na asanteni kwa yote.
Hapana, na hatufahamiani nae kama ambavyo hatufahamiani mimi na weweumetumwa kumpigia debe?
Roho za upambe zinatesa sana. Ukiona tu inalipuka puuuuuu!Hizi ni zile mada za wapambe.
Watasema tunafahamiana na unampigia debe. Sijui tatizo letu ni lipi aiseeHuyu jamaa anafaa kuwa Raisi,Waziri mkuu,au Waziri wa Tamisemi,Waziri wa fedha,Nishati na madini.
Ingekuwa amri yangu,Huyu jamaa angechukua Uraisi wa Jamhuri ya Muungano,2020,waziri mkuu awe,Suleiman Jafo,Waziri Ardhi awe Lukuvi,wa fedha awe Prof Assad,ulinzi Mwinyi,Katiba na Sheria Zito Kabwe,Madini,Biteko
Unajua TAMISEMI imejaa hizi siasa za hapa na pale. Kwa hiyo ni vema uwe mzalishaji-kwenye WATU, ARDHI, SIASA SAFI na kwa hakika UONGOZI BORA. Huyu Ndugu ni fundi kwa namna ninavyomtafsiri mimi.January hapana ni janga. jafo yuko vizuri