Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Waziri wa Mazingira, January Makamba amekana katu katu kuwa alichukia na kususa baada ya Rais Magufuli kumtosa katika nafasi ya Waziri Mkuu wa awamu ya tano.
Akitiririka mubashara, Makamba ametabainisha kuwa baada ya uchaguzi siku zote amekuwa akiomba asichaguliwe katika wadhifa huo mkubwa bongolala maana ungeweza kumharibia keria yake kwenye siasa.
Bado nina umri mdogo na nina safari ndefu sana kwenye siasa na kuwatumikia wananchi. Ukichaguliwa nafasi hizo kubwa ina maana unaua karia na huwezi kuendelea na siasa.
----
Binafsi naungana sana na Mh. Makamba. Historia ya Tanzania ukimtoa Nyerere, hakuna waziri mkuu yeyote mstaafu ambaye alishawahi kuwa Rais, wote huwa wanaangukia pua. Kuna waziri mkuu fulani aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na aliyekuwa namba moja kwenye LIST OF SHAME ya CHADEMA bado anahangaika kuwa Rais na amekinunua chama kilichokuwa kikimpinga kwa zaidi ya miaka 10.