EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nguvu za kiume lazima zipungue.
Hapo Una-defense alafu unapiga counter attacksUkichomoka salama umejipanga aisee[emoji23][emoji23]View attachment 976353
[emoji2][emoji2][emoji2] mpira usipofikia fowards inakula kwakoHap
Hapo Una-defense alafu unapiga counter attacks
Mwalimu kashasha nini maoni yako baada ya kukiona kikosi cha january fc.
Asante mwalimu kashasha kwa uchambuzi maridhawa kabisa. Eeeeh...pambano hili linadhaminiwa rungu max gudi gudi, wembe bora kabisa wa kunyolea nywele sehemu zote bila kuacha vipele...Eeeh!naona coach ameamua kufanya ile kitu tunaita obstruction kitaalamu na hii Jesse ni mbinu ya kumdhibiti opponent wako asilete madhara makubwa golini so hawa jamaa wajipange kwa pasi fupi za haraka haraka ili kuipenya back line ya january fc na kupiga outer caving pass ili foward wa hii kuungaunga fc waweze kuchomoza na ushindi.Kwako Jese
Baba mwenye nyumba haponi hapo,kwako jesse john.Mwalimu kashasha nini maoni yako baada ya kukiona kikosi cha january fc.
Mimi mpenzi mtazamaji hii ndoo tunaibeba asubuhi kabla jogoo hajawika