January balaa!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Jamaaa kapata wageni bila kujiandaa, Mara mke wake akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatisha wote.
Jamaa akafikiria halaf akamwambia' Leta chai isyo na sukari kwa wote
Ilipofika ilibidi mke atimke zake kwa aibu, jamaa kabla ya kuruhusu chai inywewe akawaambia Jamani karibuni lkn nataka tupge game kidogo...kikombe kimoja hakina sukari so atakae kipata atatupeleka lunch sote hapa. Walipokuwa wanakunywa kila mtu akawa anadai chai yake ina sukar ya kutosha na kwanza imezidi......

Kumaliza January inahitaji akili ya ziada

*#Watu_Bwana!!*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom