Naomba kuuliza...baada ya gesi kufika kwa wingi DSM na kwenye mitambo ya ufuaji umeme, ufuaji umeme kwa makaa ya mawe, upepo na hali nzuri ya maji ktk mitambo ya uzalishaji kwa kutumia maji bei ya umeme itapungua??????? Na madeni ya TANESCO yatakwisha??