Shalom Makamanda
Nimepata taarifa kutoka control centre ya Gen Z ni kwamba January mosi tunatoka makamanda tutoke kwa wingi.
#SamiaMustGo😂😂😂
Huko barabarani huwa hatuwaoni, kumbuka kuna wale mliwatia hasara mali zao wana hamu sana na nyinyi siku mtakayotoka wataanza kuwashughulikia kabla hata polisi hawajafika.Shalom Makamanda
Nimepata taarifa kutoka control centre ya Gen Z ni kwamba January mosi tunatoka makamanda tutoke kwa wingi.
#SamiaMustGo😂😂😂
Huko barabarani huwa hatuwaoni, kumbuka kuna wale mliwatia hasara mali zao wana hamu sana na nyinyi siku mtakayotoka wataanza kuwashughulikia kabla hata polisi hawajafika.
Una mimba ya muandamanaji?!Kamanda shida iko wapi?
Hampati nyingine, mtatoa za kwenu safari hii.
UnazinguaKamanda shida iko wapi?
Nisamehe bure mkuu, sikujua kwamba hii ni kejeli.Shalom Makamanda
Nimepata taarifa kutoka control centre ya Gen Z ni kwamba January mosi tunatoka makamanda tutoke kwa wingi.
#SamiaMustGo😂😂😂
😁😁😁Nyie pimbi mnachafua taswira ya JF
Mnaleta mada za kingese humu kila muda mapimbi nyie!