Nani Rais? unanchekesha, Rais sasa hivi ni mwanajeshi wangu Jakaya Mrisho Kikwete. Kumbuka hilo.
Ya kesho huyajuwi wewe wala baba'ko wala mama'ko wala mimi. Kuanza kutabiri leo wakati uchaguzi labda utakuwa mwezi wa kumi ni ushirikina, mimi sifanyi kufuru ya ushirikina, kama wewe umezowea hayo ni hukohuko.