huyu bora asipewe uraisi, naona ameshaanza mapema
hapana, tunahitaji raisi adimu kupiga nae picha. aliyekua sereous, mwenye maamuzi na sio muogaMbona wanadamu mnawivu ivo
hapana, tunahitaji raisi adimu kupiga nae picha. aliyekua sereous, mwenye maamuzi na sio muoga
Mbona sijaelewa, wamefunga ndoa au vipi?
urais haupati hata atambike
Mbona sijaelewa, wamefunga ndoa au vipi?
wanaume kulishana? mnhhhhhh
hata keki huwa hamlishani?
Muda wake ndo bado but atakuja kutufaa one day