ChekoFagia Senior Member Joined Sep 20, 2025 Posts 115 Reaction score 339 Jan 28, 2026 #1 Kabla ya kubonyeza 'Kukubali' (Accept), hakikisha unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) ili ujue jinsi taarifa zako binafsi zinavyokusanywa, kuchakatwa na kutumika.
Kabla ya kubonyeza 'Kukubali' (Accept), hakikisha unasoma na kuelewa Sera ya Faragha (Privacy Policy) ili ujue jinsi taarifa zako binafsi zinavyokusanywa, kuchakatwa na kutumika.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,287 Reaction score 14,592 Jan 28, 2026 #2 Huwa najilipua tu potelea pote mladi nifikie malengo.